Rais John Magufuli, Masters fake zipo NSSF

Rais John Magufuli, Masters fake zipo NSSF

TUMECHOKA NA MASUALA YA KUTUMBUANA DAILY KM NDIO IMEKUWA SERA AU DIRA YA TAIFA!!!! TUNAHITAJI ISSUE ZA MAENDELEO NDIO ZITAWALE KTK MEDIA BHANA!!!!!!
 
Mkuu thread haijakamilika utata uko wapi? Lete ushaidi af ni bora ungetaja cheo cha huyo mtu kuliko kutaja jina direct wakati hauna ushaidi wowote. Pathetic
 
Mkuu thread haijakamilika utata uko wapi? Lete ushaidi af ni bora ungetaja cheo cha huyo mtu kuliko kutaja jina direct wakati hauna ushaidi wowote. Pathetic
Hiyo si kazi yake yeye ameleta habari inatosha wenye vitengo vyao wafanyie kazi kama ni uongo si utajulikana?.Tatizo la vyeti feki kila mtu ana kiri ni kubwa mno nchini mtu alaleta habari mnaanza kumzodoa? Mimi namjua mtu ana Masters na hajawahi kuwa na degree wala advanced diploma na ana kazi na nafasi kubwa.Hii nchi achana nayo.
 
Tanzania ni zaidi uijuavyo
Kikubwa wahusika walifatilie kama ni uongo feedback iludi
Sasa tunabisha tuu na umepokea upande moja wa taarifa lazima ufanye judgement baada ya kupata taarifa zote sahihii
Ndo unasimama upande
Ndo maana watanzania tunaitwa wavivu wa kufikiri
Hapo ilikuwa ni swala la mh muhagama kufatilia na kujua basi tunapata majibu
Maana MTU anaandika tunaangalia kuderiver eventually hajui hata huyo mkuu anatakiwa kuderiver kitugani.
 
Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata University of Lincorn UK, hii Masters ina utata.

Waziri Mhagama ndiye waziri ambaye NSSF ipo chini yake, tunamuomba afuatilie uozo huu


Taasisi za serikali watu mnamajunguu
 
Ndio maana mnaondoa fao la kujitoa sababu akili zenu ni copy & paste kutoka huko Ulaya,.....i,e hamtaki kushughulisha akili zenu kutatua matatizo yanayoikumba nchi hii zaidi ya kusema dunian kote hakuna fao la kujitoa as if hiyo dunia imekatazwa kuiga kutoka kwenye.....bure kabisa wasomi wa Tz
Hahaaaa sasa unatarajia wao wanatoa mrejeo au mlinganisho wapi zaidi ya kukopi na ku-paste!
 
Huyu jamaa atakuwa yawezekana hana. Ujanja huu wengi wanao hapa bongo. Mleta mada, tueleze alianza lini na alimaliza lini, maana mi nipo hapa Lincoln University (UK), nina mwezi sasa. Kufuatilia hapa ni dk tu. Then nitawapa feedback.
 
Halafu huko nssf kuna kuwekana an ktk ajira na vitengo
 
UK hakuna chuo kama hicho cha Lincorn ila kuna chuo kikuu cha Lincoln au University of Lincoln.

Ni vizuri pia kufanya utafiti kabla ya kuleta migongano.

Sasa, utata wa hiyo Masters ni upi?

Tufafanulie.
Sasa hivi mkuu watu wamechanganyikiwa
Usikute jamaa njia yake ya kula kifisadi imezibwa,kaona amchafue mwenzake
 
Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...
Unauhakika kama anadngnya? Km ni kweli ni lazima aseme na km uongo anachofnya n makosa
 
Mkuu, unataja majina ya watu na wewe yakitajwa ya kwako utakuwa salama?

Fikiri kabla ya kuropokwa...
 
Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...

Nikiona majibu kama haya ya ajabu, basi hii inatudhilishia kwamba linapo kuja suala la kughushi vyeti na cridentials nyingine bandia Taifa letu bado lipo ICU - inatisha sana!!

No wonder mambo mengi nchini yanaendeshwa ovyo ovyo tu, kumbe vihiyo wamejaa kwenye posts nyeti Serikalini na kwenye Mashika ya UMMA na bila aibu wanajitokeza baadhi ya watu wanakuwa na ubavu wa kuwatetea.
 
Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...
Kama kigezo cha elimu kilichomfanya akaajiriwa ni masters yake na ukaja baadae ikajulikana ni ya kugushi huoni kua huko ni kujipatia ajira kwa njia ya udanganyifu?
 
Back
Top Bottom