Rais John Magufuli, Masters fake zipo NSSF

Rais John Magufuli, Masters fake zipo NSSF

Nadhani ku track na kujua km degree ya ni halisi au ya kugushi ni rahisi tu.Na ilitakiwa kufanyika tangu kipindi anaomba ajira,hata hivyo it's never too late something can still be done to rectify the situation rather than letting it go like that.
 
We ni kapi LA balozi na chiku matesa waliotimuliwa,be franc mbwete na matessa nani mwenye vyeti feki,bora mbwete anacho matessa hakuwa nacho kabisaaaa,halafu upuuzi wako unadhani jpm atakusaidia after all ameomba MALAIKA washuke wafungie hii mitandao.
Fanya kazi dau hatarudi asilani Nssf,
Mwenye cheti fake na asiyokua na cheti ni walewale manake kichwani ndiyo kuna matter.
 
Tanzania vyeti vinaangaliwa ndio maana kuna vita ya kupambana na weny vyeti fake au elimu za "Hapa na Pale"
Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...
 
chadema siku hizi ni watetezi wa majizi, watetezi wa walaghai, watetezi wa wahalifu... yaani kiufupi ni watetezi wa mambo yasiyofaa.huku wakijivika ngozi ya kupinga udicteta. wanawatetea wenye vyeti feki, wazembe kazini, mafisadi wale wa kagera na account ya siri, wanapinga ununuaji wa ndege mpya... wanapinga..... wanapinga kila kilicho chema.

chadema ya zito+ Dr slaa ilmezikwa na kuoza kabisa. ndo maana mzee slaa aliondoka mapema, ni kama aliyatabiri haya, asingeweza kukubaliana nayo asilani.
 
Mkuu, unataja majina ya watu na wewe yakitajwa ya kwako utakuwa salama?

Fikiri kabla ya kuropokwa...

He! Una lako jambo majina yanatajwa hapa kila siku we unakuwaga wapi?
 
Hiyo si kazi yake yeye ameleta habari inatosha wenye vitengo vyao wafanyie kazi kama ni uongo si utajulikana?.Tatizo la vyeti feki kila mtu ana kiri ni kubwa mno nchini mtu alaleta habari mnaanza kumzodoa? Mimi namjua mtu ana Masters na hajawahi kuwa na degree wala advanced diploma na ana kazi na nafasi kubwa.Hii nchi achana nayo.
Hili tatizo LA vyeti ni jipu niliona habari kuwa had wauguzi wanafoji vyeti nikajiuliza huyu siatashindwa hata kuchoma sindano.
 
Nikiona majibu kama haya ya ajabu, basi hii inatudhilishia kwamba linapo kuja suala la kughushi vyeti na cridentials nyingine bandia Taifa letu bado lipo ICU - inatisha sana!!

No wonder mambo mengi nchini yanaendeshwa ovyo ovyo tu, kumbe vihiyo wamejaa kwenye posts nyeti Serikalini na kwenye Mashika ya UMMA na bila aibu wanajitokeza baadhi ya watu wanakuwa na ubavu wa kuwatetea.
MTU unakuta hana uwezo wa kudeliver ila ana elimu kubwa sana, nadhani vyeti fake ni tatizo kubwa na hawa wanaochomekwa unakuta wengi ni kujuana na wanapeana mikakati ya kufoji ili kupata nafasi huko serikalini na sehemu nyeti wengi shule hawana wamefoji, na ndo mana mambo hayaendi.
 
Weka uthibitisho walau kufanya hoja yako iwe na Mashiko maana kutaja Jina la Mtu direct huenda UKawa na ushahidi Mzito au huenda pia ikawa ni uchafuaji wa Jina.
Hata polisi hufika tuhuma na wao ndio hutafuta uthibitisho. Ni suala la wanaotuhumiwa kujitokeza kukanusha na kuonesha ukweli.
 
Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata University of Lincorn UK, hii Masters ina utata.

Waziri Mhagama ndiye waziri ambaye NSSF ipo chini yake, tunamuomba afuatilie uozo huu
Magufuli mwenyewe ana Ph.D fake.
 
Duuh wew jamaa noma sn umewezaje kumwaga Ubuyu kama huu,, bila Evidenc yoyote,,
 
Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...
hiyo ni kauli ya rais kushughulika na walioghushi vyeti vya taaluma zao ili kuimarisha utendaji. naona unatetea mpaka ujinga humu.
 
Nadhani tujadili suala la fao la kujitoa na tuache kuchafua watu majina.
 
Hakuna tabia inayokera kama hii ya mtoa mada yaani analalamika utadhani dominic akifukuzwa mshahara wa dominic atapewa yeye,acha ujinga,ni wapuuz tu huwa wanashangilia anguka la wengine,FANYA YAKO BROO kama we ni mwanaume its shame unatuaibisha
 
Aisee tuzungumzie kulipwa pesa yetu ya NSSF ndo cha msingi watu tunaumia mtaani baaa ya ofisi kuota nyasi badala watupe pesa yetu tujiajiri wenyewe wameikumbatia kama vile ni ya kwao inauma sana.
 
He! Una lako jambo majina yanatajwa hapa kila siku we unakuwaga wapi?
Langu ninalo kwenye zipu. Jina kutajwa sio ishu, ila kwa mazingira haya inakuwa ni umbea... Kama ushuzi yani. Akitokea mtu akataja majina halisi ya mtoa mada wallahi atajijambia!
 
Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...
Kwani hiyo ni kazi ya kubeba matofali mpaka awe na uwezo Wa kudeliver bila uwezo Wa kitaaluma ulio stahiki?
 
Mkuu, unataja majina ya watu na wewe yakitajwa ya kwako utakuwa salama?

Fikiri kabla ya kuropokwa...
kwa nini asiwe salama.
kama umepata kwa halali salama ipo kama kwa haramu ndo mashaka kama ivi.
 
Nikiona majibu kama haya ya ajabu, basi hii inatudhilishia kwamba linapo kuja suala la kughushi vyeti na cridentials nyingine bandia Taifa letu bado lipo ICU - inatisha sana!!

No wonder mambo mengi nchini yanaendeshwa ovyo ovyo tu, kumbe vihiyo wamejaa kwenye posts nyeti Serikalini na kwenye Mashika ya UMMA na bila aibu wanajitokeza baadhi ya watu wanakuwa na ubavu wa kuwatetea.
walioghushi vyeti wamejaa mkuu ndo maana hata maendeleo ni ndoto.

ukiwataja kama ivi wanakimbilia kusema ni wivu.
 
Back
Top Bottom