Rais John Magufuli, Masters fake zipo NSSF

Msal

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
218
Reaction score
67
Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata University of Lincorn UK, hii Masters ina utata.

Waziri Mhagama ndiye waziri ambaye NSSF ipo chini yake, tunamuomba afuatilie uozo huu
 
Ndio maana mnaondoa fao la kujitoa sababu akili zenu ni copy & paste kutoka huko Ulaya,.....i,e hamtaki kushughulisha akili zenu kutatua matatizo yanayoikumba nchi hii zaidi ya kusema dunian kote hakuna fao la kujitoa as if hiyo dunia imekatazwa kuiga kutoka kwenye.....bure kabisa wasomi wa Tz
 
Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...

Good word....ila je_do they deliver..?.....ama ndio zile hadithi za dunian kote hakuna fao la kujitoa...!
 
Atakuwa amekukera hadi kuamua kumuanika hapa! ila sija hakika kama JPM ana a/c hapa Jamiiforums.
 
Weka uthibitisho walau kufanya hoja yako iwe na Mashiko maana kutaja Jina la Mtu direct huenda UKawa na ushahidi Mzito au huenda pia ikawa ni uchafuaji wa Jina.
 
Ushawahi kumwambia mwenyewe huyo Domi kwamba Masters yake ni feki? Kama hujamwambia huna haki ya kuja kulalamika hapa. Ni majungu
 
Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata University of Lincorn UK, hii Masters ina utata.

Waziri Mhagama ndiye waziri ambaye NSSF ipo chini yake, tunamuomba afuatilie uozo huu

UK hakuna chuo kama hicho cha Lincorn ila kuna chuo kikuu cha Lincoln au University of Lincoln.

Ni vizuri pia kufanya utafiti kabla ya kuleta migongano.

Sasa, utata wa hiyo Masters ni upi?

Tufafanulie.
 
Kufoji ni kugumu ila watu wanaweza. Hvi unaanzaje kufoji kwa mfano?
Ila ksma amefoji amefoji tu hata kama tutamkosoa mleta mada kadri tuwezavyo
 
Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata University of Lincorn UK, hii Masters ina utata.

Waziri Mhagama ndiye waziri ambaye NSSF ipo chini yake, tunamuomba afuatilie uozo huu

We ni kapi LA balozi na chiku matesa waliotimuliwa,be franc mbwete na matessa nani mwenye vyeti feki,bora mbwete anacho matessa hakuwa nacho kabisaaaa,halafu upuuzi wako unadhani jpm atakusaidia after all ameomba MALAIKA washuke wafungie hii mitandao.
Fanya kazi dau hatarudi asilani Nssf,
 
Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata University of Lincorn UK, hii Masters ina utata.

Waziri Mhagama ndiye waziri ambaye NSSF ipo chini yake, tunamuomba afuatilie uozo huu
Huyu mbwete ndie aliyemfanyia fitna kamanda wetu Magori wakati yeye kala fadhila nyingi za magori. Ama kweli Malipo hapahapa Duniani.
 
Lete na ya kwako usije kuwa unataka wamfukuze wewe uchukue halafu wewe labda ni zaidi yake
 
Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...
Tulia makalio kukaa na wakati wa kufikiri, tumia ubongo. Unaposema 'hatuangalii' unapaswa kujitambulisha wewe ni nani kiasi uje na kauli tendaji. Kama kinachoangaliwa ni uwezo wa kudeliver, mbona nafasi zisiwe wazi ili kwamba hata Bonabucha Chobanga atoke zake Ziwa Tanganyika aje kukalia kiti cha mkurugenzi wa NSSF?
 
Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata University of Lincorn UK, hii Masters ina utata.

Waziri Mhagama ndiye waziri ambaye NSSF ipo chini yake, tunamuomba afuatilie uozo huu
Duuuuh tukianza kufukua makaburi unaweza kuta hata ya mkuu ni fake
 
UK hakuna chuo kama hicho cha Lincorn ila kuna chuo kikuu cha Lincoln au University of Lincoln.

Ni vizuri pia kufanya utafiti kabla ya kuleta migongano.

Sasa, utata wa hiyo Masters ni upi?

Tufafanulie.
Exactly
 
Naona umeamua kumtumbua ila ok japo hujaweka ushahidi kivip unatilia mashaka masters yake mfano kasoma chini ya miezi 3 akapata au?, zaidi ya hapo ni majungu ambayo hayana mashiko
 
Back
Top Bottom