Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
Au ndio maana Mzee Mwanakijiji akasema usiku wa leo mustakbali wa Tanzania utakuwa katika mizani?
Pole na safari Mkuu.......karibu Dar...tunakuhitaji sana wakati huu mkuu
Anarejea au anakuja. Kama alivyokuja Hilary Clinton
Kwani wewe ni Salma?
Mara mia ningempgia kura Dovutwa
Vasco da Gama ndani ya nyumba..hakuna uchawi wala ndumba lol!
kaja na suti nyingine!?
bongo amepitia kama in transit,anasubiri kukonect ndege nyingine ya kwenda japan
Welcome my presdent, niko kwenye TV nasubiri Mungu ibariki Tanzaniaaa! nikusikie baba, wenzako leo tumekimbizwa mjini, usiposema neno tutakimbizwa tena kesho, karibu Mh. ila usitoe ushauri tena, toa maagizo, ndio ni waislam wenzako, ndio suala la dini liko sensitive, sawa watakuchukia lkn amani yetu i mashakani. Sisi wakristo na waislam wadhati tunakulilia, wale magaidi si wa kuonewa huruma hata chembe, udugu wetu u mashakani. mwisho, nini hatma ya hawa walioko mahabusu? watafungwa kweli? wataachiwa? kipindi wakiwa ndani nini responce ya washirika wao? wakija kuachiwa nini implication yake? je watashika adabu au ndo watakuwa mabandidu zaidi? wale wa mihadhara pale manzese kila siku kukashifu dini za watu ndo nini? vipi hawa wanakujaga mitaani kwetu na kuanza kashfa zao usiku kwa sauti ya spika muda ambao wengi huwa tumerudi majumbani na kulazimishwa kusikiliza kashfa hizo? NAAMINI HIKI NDO KIPINDI CHA KUAGIZA POLICE KUKAMATA WATOA MIHADHARA YA KASHFA NCHI NZIMA. bado nasubiri Mungu ibariki tz, sitoki kwenye tv ng'ooo!
Nakukubali BABA V ni kwamba nina hasira kuhusu yanayoendelea na yeye kama baba hataki kutoa tamko lolote...amekaa kimya. Nisamehe ndugu hata biblia inasema " Iweni na hasira ila msitende dhambi...."naomba nivumulie Mkuu.
Mara mia ningempgia kura Dovutwa
mtamkumbuka sana dr slaa na aliwaambia kumchagua kikwete ni kuchagua umasikini haya sasaha ha ha ha hayhahahahahhahaha !!!