Rais Jakaya Kikwete arejea nchini

Raisi gani anayekwenda kuzurura ughaibuni huku nyumbani anaacha hali ya sintofahamu? alipaswa kushitakiwa huyu kwa kosa la uzembe na uzururaji, kama katiba ingekuwa inaruhusu raisi kushitakiwa.
 
Mpeni Rais wetu muda apumzike atatoa neno la hekima na busara baada ya mapumziko ya safari ndefu. Pole sana baba kwa safari ndefu na karibu Tanzania kisiwa cha amani.
 
Kiongozi asiyekemea maovu ni hatari zaidi ya ukoma!!!!! Rais asiyekerwa shida na taabu za wananchi wake huku akijinadi kwa majirani ni sawa na MC ktk send off----bora liende!!!! Anatakiwa mtu jasiri wa kutuliza bori na kuchambua pumba. Mbona tena 2015 ni mbali sana kwa hali hii????????
 
Msafiri naona kama ameandaa tamthilia ambayo amewaagiza waanzishe vurugu, halafu yeye atawasihi watulie na watatulia, Lengo aonekane anawajali watanzania maana amerudi kwa ajili yao, na pia kujenga taswira kuwa anaujuzi wa conflict resolution.

Ni mtaalamu wa kupima upepo, ni mtaalamu wa kuandaa matukio yanayoweza kuhamisha mass minds zetu, ishu ya Mwangosi na M4C ilikuwa hot kwake, kutuzingua amewatuma watu wake waanzishe hili la udini. Utashangaa atakavyo manipulate mambo!!
 
jamani huyu RUBANI anapita tu hapa tanzania, yuko safarini kama alivopita akitokea
USA na CANADA
 
Bora arudi mkuu aje akemee huu uovu, wanamuonea kweli baba liz hawa waisalam na uamsho wao.!

Haya mwenye nyumba huyo furukuteni !
 
Naomba kujuzwa amerudi ziara imeisha au amerudi bse kuna machafuko
Kwa mtazamo wangu naisi kama ziara labda imeisha maana on serious issues always huwa namuona hayuko serious
 
kipindi hiki tutategemea siasa kuwekwa kando na kuwa ni kipindi cha amri na maelekezo tu.Tunamuomba Mh. President wetu atumie ukamanda wake kupitia katiba.
 
Mi nilizani amerudi jana kwamba amekatisha ziara

akatishe ziara!! aiwez tokea,ule mgomo wa madaktari alikuwa uingereza na marekan uku nyumban hali ilikuwa mbaya lakin akurud adi ziara iliposha,lais wetu awez katisha ziara labda awe amefanya ziara burundi,congo na somalia,lakin ulaya,asia na america,tusahau
 
Naomba kujuzwa amerudi ziara imeisha au amerudi bse kuna machafuko
Kwa mtazamo wangu naisi kama ziara labda imeisha maana on serious issues always huwa namuona hayuko serious

mkuu ziara yake ya siku 4 imeisha ndio maana lais wetu amerudi
 
Back
Top Bottom