Rais Jakaya Kikwete arejea nchini

Rais Jakaya Kikwete arejea nchini

Pole kwa safari mkuu wetu wa nchi na amiri jeshi mkuu!! Leo tunategemea kwa vyeo ulivyo navyo kama Rais na Amiri Jeshi Mku na Mwenyekiti wa kile Chama chako kinachoimba udini, ukabila na ukanda kupitia kampeni zenu basi leo utasema neno moja kuhusu Waislam wenzako. Kwa neno lako na nchi hii ipate kupona na kurejea katika ile amani tuliyokuwa nayo!!
 
aiseeee babaangu huko japan anakwenda kutembelea timu ya kina drogbar na shule ya karate za watoto wadogo huku rombo rais wetu ni selasini 2po nae kwenye misiba

Leo nimecheka mno kwa hii post hadi machozi yananitoka!!! Kweli JF watu wanatiririka ya kweli ndani ya mioyo yao!!
 
ma5.jpg


Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.

ma6.jpg


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.

ma8.jpg


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini.
 
Ataita waganga ili wawapumbaze wananchi wasimlaumu kwa yanayojili,kweli akili nywele
 
Mara mia ningempgia kura Dovutwa

wenzio tulimpigia Dr. Wa ukweli,ndio maana kila siku tunalia kudhulumimwa haki yetu maana bila usalama wa ccm tungekua tunaongelea mafisadi waliko keko.
 
Auto pilot ndani ya nyumba!mzee wa upepo utapita tu!
 
Hana jipya, awepo au asiwepo the difference is the same. its like he lives in nothingness and he is as good as he doesn't exist!!!!
 
Atuambie kwa nini amewadekeza hawa wenzie mpaka wanachoka makanisa namna hii
 
Katika picha za mapokezi naona rais akicheka saaana, jamani huyu rais kwelihttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/sad.png
 
alitakiwa azomewe hana maana kabisa kwanini anachezea amani ya NCHI yetu? bora angebaki hukohuko. usikute kaja kupanga safari nyingine ya marekani.
 
Ametoka kutafuta mahali pa kujisetiri maana anahisi kama atakimbilia Marekani ama Uingereza atakuwa karibu mno na mahakama ya Hague.
 
Sijui ni kwanini nimefungua hii thread maana nimeishia kukasirika tu.hivi MUNGU huyu ana nini na sisi kutuletea Rais kama huyu?? kama ni rais wa kambo!! hana mapenzi na nchi hii hata kidogo.
 
Jinsi alivyoshindwa kukaripia pale Mbagala niliona basi ndio haohao. Badala yake akawa anamlaumu mtoto aliyekojolea korani. Akashindwa kulaani waliounguza madhahabu pamoja biblia Takatifu. Kama vile hajui utakatifu wa biblia ye anajua utakatifu wa korani tu. Kwa hoja hiyo me sitegemee jipya kutoka kwa dhaifu. Sana sana atasema "yatakwisha tu hayo"
 
Back
Top Bottom