WAZEE WA SRC:
SRC NI TBC TAIFA
RAIS WA AFRIKA YA KUSINI MH JACOB ZUMA ANATARAJIWA KUOA MKE WA NNE
MWISHO WA MWEZI HUU KWA KUMUOA MCHUMBA WAKE gloria bongi
GLORIA ANAKUWA MKE WA NNE WA MH ZUMA AMBAE ANA WATOTO 21 NA ANATARAJIWA KUPAATA
WA 22 KUTOKA KWA MCHUMBA WAKE HUYO..
KWA TAARIFA HIYO INANIONYESHA JINSI GANI RAIS HUYU NI MZINZI ANATEMBEA NA MWANAMKE
KABLA YA NDOA SIJUI NA YYEYE AKIMEGEWA ANASEMAJE
KWENU WANA NDOA MLIOTIA MIMBA KABLA YA KUOA
Hamshindi wa kwetu. Sema wetu hajitangazi.....
Mkuu U have made my day! Kumalima-malima lol Lusinde (mzee wa kudadeki) alitusahaulisha kidogo hiliMi namkubali sana Zuma, huyo ni mke wa 6 ila kwa alionao kwa sasa atakuwa wa 4.
Anawazidi sn viongozi wetu wana wanawake chungu nzima wao wanadai wana m1. Kazi zao kumalima malima tu.
Hamshindi wa kwetu. Sema wetu hajitangazi.....
Zuma kiwembe sana!