Rais Jacob Zuma kuoa mke wa nne mwisho wa mwezi huu;

kweli marais wa afrika wakishindwa kuongoza nchi ndio kazi wanayoiweza kama sio kuoa basi kuzunguka nchi za wenzie mana wameshindwa kuongoza nchi zao kazi kweli kweli
 
huyu hapa !!
photo_1334488028594-1-0.jpg
 
...zuma ni mwanaume wa shoka ambaye anaweza kumudu wanawake wengi tofauti na vjana wa leo ambao ht mke mmoja kummudu ipasavyo kazi...kzuri zaidi ametangaza kuwa anaoa tofauti na v'ongozi wetu wengi wa Afrika km JK ambao uharibu watoto wa watu kimyakimya (kanumba style)....congrats zuma though napenda kufaham dini yake.
 
Na yule aliemweka ndani babu seya eeh yulee na mwingine loh!!baba ntilieeeee
 
Back
Top Bottom