Rais huyu kiboko. Mweeeeeh

"fake it until you make it" majukumu ya UVCCM ni yapi?
 
Anahitaji kila kitu, fedha na elimu bora. Kwahiyo sioni tatizo lolote kwa JK kumpa zawadi ila nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri

kama anaitaji vyote viwili mbona amempa kimoja? Na kile cha elimu bora kamnyima? Na kwanini anasubiri mtoto akate mauno ndipo ampe hiyo sh.elfu moja? Wewe na raisi wako mnatumia masaburi..!
 
kama anaitaji vyote viwili mbona amempa kimoja? Na kile cha elimu bora kamnyima? Na kwanini anasubiri mtoto akate mauno ndipo ampe hiyo sh.elfu moja? Wewe na raisi wako mnatumia masaburi..!

Siyo kazi ya Rais kugawa elimu kama karanga. Huyo mtoto atapata elimu darasani.
 
Anahitaji kila kitu, fedha na elimu bora. Kwahiyo sioni tatizo lolote kwa JK kumpa zawadi ila nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri

Mwita kweli unafikiri kwa kutumia masaburi yako!! Huyo mtoto hazihitaji hizo chenji anazopewa na mkweree kwani akishanunulia vitumbua leo huyo mkweree kesho atakuwepo kumpa zingine? Mkweree anatakiwa awe na vision ya kuongoza nchi ili uchumi ukuwe na matunda ya kukua uchumi huo yamfikie baba ya huyo kijana [ badala ya kuibwa na wakina Rostam] kwa njia ya kupata ajira na kwa njia hiyo kijana atakuwa anakula vitumbua kila siku kwani baba yake atakuwa na mshahara!! " A COUNTRY WITHOUT A VISION IS BOUND TO DIE"
 
Anahitaji kila kitu, fedha na elimu bora. Kwahiyo sioni tatizo lolote kwa JK kumpa zawadi ila nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri
kwa ufupi wa mawazo yako unadhani elimu bora na fedha vinatolewa na rais mfukoni....

aiseee...........
 
Siyo kazi ya Rais kugawa elimu kama karanga. Huyo mtoto atapata elimu darasani.

unamaanisha kuwa ni jukumu la rais kugawa hela kwa watoto wanaokata mauno?
 

rais anaonesha asili yake ni mpenzi wa ngoma za asili, amevutiwa sana. kaamua kumzawadia mtoto hela kwa kucheza vizuri ngoma yao na sio kupeleka pesa kule Igunga kwa ajili ya kujenga visima, barabara na hospitali. Kisiwani Mafia wananchi wameapa kumkataa mbunge wao 2015 maana huduma zote zinatolewa na NGO's serikali haitoi huduma yoyote, wanaishi kama hwana mwakilishi. Songea mabalozi 19 wa vijiji wamejiuzulu na kuikacha CCM, hizi ni ishara za mwanzo wa mwisho
 
Anahitaji kila kitu, fedha na elimu bora. Kwahiyo sioni tatizo lolote kwa JK kumpa zawadi ila nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri
We mtu hivi unafikiri kwa kutumia kiungo gani cha mwili. Hivi hiyo ngoma ya Lizombe ni applicabke kwa maisha ya huyo mtoto kweli!Hivi wale wanae wawili wadogo nao wanachezaga hizo ngoma! Mi nilizani angemuaita huyo mwalimu wa huyo mtoto amuulize kwanini mtoto anakuja kucheza ngoma wakati wa masomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…