Rais hamteui Jaji mkuu ili asiondolewe na bunge?

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,465
6,109
Bunge haliwezi kumwondoa rais kwa kumpigia kura ya kutokuwa na Imani kama hamna jaji mkuu
Mh Rais acha kujificha kwenye kivuli cha kukosekana jaji mkuu maana una wabunge wakutosha ambao ukiwapa 10m wanakusaidia kama wakati wa ile miswada
 
Kipengele hicho ni cha sheria gani
 
Mimi nachokijua hata kama hakuna jaji mkuu huyo acting chief justice linapokuja swala la kupiga kura ya kutokua na imani na raisi, huyo raisi hawezi kumtoa mpaka mchakato utakapo kua umemalizika yani huyu jamaa hana anachokijua yeye anahisi sababu ni acting hivyo wakianzisha mchakato anaweza kumtoa kitu ambacho katiba ilishaziba hio loophole
 
Unauhakika haitamtia hofu kma kaimu akisimamia ukweli na magu akapita kwenye kura hizo sio yatakuwa yalevya mbwa na mwenye mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge haliwezi kumwondoa rais kwa kumpigia kura ya kutokuwa na Imani kama hamna jaji mkuu
Mh Rais acha kujificha kwenye kivuli cha kukosekana jaji mkuu maana una wabunge wakutosha ambao ukiwapa 10m wanakusaidia kama wakati wa ile miswada
Kama kuna kura imeandaliwa leteni,tumechoka na raic mtoa mapovu mda wote.
 
Bunge haliwezi kumwondoa rais kwa kumpigia kura ya kutokuwa na Imani kama hamna jaji mkuu
Mh Rais acha kujificha kwenye kivuli cha kukosekana jaji mkuu maana una wabunge wakutosha ambao ukiwapa 10m wanakusaidia kama wakati wa ile miswada
Si wapinzani wala wa chama tawala wenye uwezo wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais
Kwanza ukitaka uishi kwa amani na usipate stress we elewa tu kuwa Magufuli yupo mapaka 2025.
Mambo ya kuamini Magufuli atapigiwa kura ya kutokuwa na imani naye au 2020 hatoshinda ni kujitafutia presha tuu na ukichaa,.....
 
Mkuu inaonekana Katiba ya JMT hujaisoma ukaielewa! Mchakato wa kumwondoa Rais si lahisi kiasi hicho. Rais anauwezo wa kujivunja Bunge na mchakato wa kuanza uchanguzi mpya ukaanza na Magu ana asilimia 90% ya kurudi kwenye Urais lakini wabunge wengi hasa waupinzani ni 50%. Sasa jiulize kuna mbunge wa upinzani ambaye anaweza kukubali mchakato huo? Mkuu acha kupata stress bure Rais Magufuli atakuwepo mpaka 2025.
 
Yaani wabunge wa upinzania wasirudi? Umeshafanya utafiti au umeamka usingizini mkuu
 
Si wapinzani wala wa chama tawala wenye uwezo wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais
Kwanza ukitaka uishi kwa amani na usipate stress we elewa tu kuwa Magufuli yupo mapaka 2025.
Mambo ya kuamini Magufuli atapigiwa kura ya kutokuwa na imani naye au 2020 hatoshinda ni kujitafutia presha tuu na ukichaa,.....
Una akilinya pungufu. Nafikiri umezaliwa chooni wewe.
 
Hivi hakuna sheria mahala flani inayotoa limit ya muda wa kukaa bila Jaji Mkuu? Magufuli anaogopa nini kumkabidhi mikoba yule anayeact? Au kwa kuwa sio wa kanda zile? Kama hafai si amoverlook tu na kuteua mwingine?
 
Si wapinzani wala wa chama tawala wenye uwezo wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais
Kwanza ukitaka uishi kwa amani na usipate stress we elewa tu kuwa Magufuli yupo mapaka 2025.
Mambo ya kuamini Magufuli atapigiwa kura ya kutokuwa na imani naye au 2020 hatoshinda ni kujitafutia presha tuu na ukichaa,.....

Hahahahj Raisi asiyependwa na wananchi wake, ukitaka kujua vizuri angalia watu wanaompenda, et Mutashobya na sijui choco nini vile hahh usisahau Nyani ngabu, hii nchi hii
 
Back
Top Bottom