Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Katika utafiti zangu mbali mbali na baada ya kusoma katiba mbali mbali. Nimegundua Rais ana ruhusa ya kuvunja sheria yoyote kabisa bila kushitakiwa popote hata baada ya kustaaafu urais.
Rais anawajibika endapo Jaji mkuu atajiridhizisha kuwa maadili yamevunjwa na baada ya Bunge kuridhia Rais ataondoka madarakani lakini haioneshi atawajibika kwenye vyombo vya mahakama.
Au ugonjwa, au Bunge kupiga kura ya kutokuwa na Imani na Rais. Imetamkwa Rais ataondoka madarakani lakini haisemi atapelewa mahakamani kujibu tuhuma.
Ukiangalia ni mchakato mrefu wenye mitihani mingi sana kumshitaki Rais kwa makosa yoyote.
Hakuna njia ya Moja kwa Moja ya Rais kuwajibika kwa makosa yoyote.
Kwakuwa Mama Samia ameridhia kuendelea na mchakato wa katiba mpya. Kitu cha kwanza atuwekee uwajibikaji wa Rais.
Mfano kashifa za Rushwa awajibike kwenye tume ya Rushwa au tume yda maadili ya viongozi mara moja.
Nimesoma katiba za East Africa Rais akitoka madarakani anawajibika na matendo yake akiwa ikulu.
Naomba wanasheria mtusaidie hii imekaaje, na kwanini Rais ambae ni binadamu tu kama mwanachi wengine amewekwa ulinzi hivyo?