Rais Felix Tshisekedi wa DR Congo kuwasili nchini Juni 13, 2019

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Rais mpya wa DRC ndugu Felix Tshisekedi atazuru nchini kesho kwa ziara ya siku mbili yenye dhumuni kubwa la kuboresha mahusiano ya kiuchumi,ulinzi na usalama.

Wale wenye macho ya fursa wakati ndio sasa.

Nawasilisha.
======

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi anatarajiwa kuwasili nchini leo Alhamisi, Juni 13 kwa ajili ya ziara ya siku mbili

Siku chache zilizopita Rais Tshisekedi aliandikwa barua kwenda kwa Rais wa Rwanda ambaye ndiye Mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika Mashariki akiwasilisha ombi la nchi yake kuwa mwananchama wa umoja huo

Tshisekedi alichaguliwa kuwa Rais wa DRC Januari mwaka huu akichukua nafasi ya Joseph Kabila
 
Ndugu zangu,

Rais mpya wa DRC ndugu Felix Tshisekedi atazuru nchini kesho kwa ziara ya siku mbili yenye dhumuni kubwa la kuboresha mahusiano ya kiuchumi,ulinzi na usalama.

Wale wenye macho ya fursa wakati ndio sasa.

Nawasilisha.
kutafuta nini dictator mpya in Africa
 
Ndugu zangu,
Rais mpya wa DRC ndugu Felix Tshisekedi atazuru nchini kesho kwa ziara ya siku mbili yenye dhumuni kubwa la kuboresha mahusiano ya kiuchumi,ulinzi na usalama.
Wale wenye macho ya fursa wakati ndio sasa.
Nawasilisha.
Source pls
 
Chama cha Wafanyabiashara na viwanfa jiandaeni chap chap na wafanyabiashara wenu juzi Raisi kafoka kuwa hamjipangi hata business card tu mnakuwa hamnazo.Wizata ya biashara na wizara ya uchukuzi hii ziara ya kwenu nendeni na wadau wa sekta ya biashara na uchukuzi msiende na maofisa serikali waliovaa suti na Makoti makubwa wakati kichwani weupe hawajui biashara wala nini.TIC wahini na Muwe na presentation waelezeni fursa zolizopo incentives nk iandaeni brief ipelekeni ikulu ichanganywe kwenye speech ya president .Andaeni copy mbili Moja kiswahili ingine kifaransa.Sehemu zote andaeni wakalimani wa kifaransa.Ikulu pia awepo mkalimani wa kifaransa
 
Back
Top Bottom