Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,990
- 103,373
Ndugu zangu,
Rais mpya wa DRC ndugu Felix Tshisekedi atazuru nchini kesho kwa ziara ya siku mbili yenye dhumuni kubwa la kuboresha mahusiano ya kiuchumi,ulinzi na usalama.
Wale wenye macho ya fursa wakati ndio sasa.
Nawasilisha.
Ana fursa kweli? Maana juzi rais amesikika akisema hajaona faida yoyote toka viongozi mbalimbali wametembelea nchi hii. Au ni business as usual?