py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,447
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte ametangaza hali ya hatari kwa tishio la madawa ya kulevya katika nchi yake na hivyo amelitaka jeshi lake kuingia kupambana katika kampeni yake ya kutokomeza madawa ya kulevya.Takriban wiki kadhaa zilizopita Rais Duterte alisema anahujumiwa na jeshi lake la polisi lililojaa ufisadi na rushwa hivyo kukwamisha kampeni yake ya kutokomeza madawa,Duterte alisitisha mapambano yake dhidi ya walanguzi wa madawa ya kulevya kwa kulifumua jeshi lake la polisi na saizi amelichukua Armed forces kupambana na vita hiyo ya madawa .
Duterte":Nimeamua kuichukua ''AFP ''Armed forces of phillipine'' na naichukulia suala hili la madawa ya kulevya ni tishio kwa usalama wa nchi hivyo nimeamua kuliita jeshi langu wanisaidia katika vita hii.
Duterte:''Wahalifu,druglords,pushers hawana ubinaadamu.
Duterte:''mnatokwa mapovu kwa watoto wa makahaba wale ''son of bitches''.wangapi ?3000 tu mnatokwa mapovu?nitawaua zaidi endapo tu itahitajika kutokomeza madawa ya kulevya
Duterte aliwajibu waandishi wa habari waliomuuliza kuhusu watuhumiwa 3000 wa madawa ya kulevya waliouliwa katika mapambano hayo.
NB:Je mateja wata surrender sober house?
je pushers wataachana na kazi hiyo ?
je druglords na vikundi vyao vya mafia watakimbia nchi au wataendelea na ulanguzi wa madawa?
Je wataweza kupambana na wanajeshi ''Armed forces"