Kumbe BIASED inachukiza eeh?Hii idhaa ya BBC ( Radio ) ipo au inasikika takriban katika nchi zote tano ( 5 ) za Maziwa Makuu ( Great Lakes ) zikiwemo Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi huku kwa mbali sana kule kwa majirani zetu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lakini cha kushangaza hawa BBC Idhaa ya Kiswahili wao interest yao ni mabaya tu yanayotokea nchini Tanzania na hasa hasa yakiwa yamefanywa na Rais Dkt. Magufuli au mmoja wa Watendaji wake wa katika Serikali yake.
Mfano hai tu mara baada ya Kauli ya Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli juzi dhidi ya Mabinti wa Shule na upataji Mimba / Ujauzito Idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) walichokifanya wao ni kutafuta tu maoni ya upande mmoja tena ule ambao unaiponda Serikali na maamuzi ya Mheshimiwa Rais na kama haitoshi hawa hawa BBC Swahili badala ya kutafuta maoni ya Watu kutoka hapa hapa Tanzania wao wamekuwa wakitafuta Watu kutoka nchini Kenya na kuyasemea mambo yanayoendelea Tanzania kitu ambacho sidhani kama kina afya sana Kiueledi.
Tafadhali Rais Dkt. Magufuli, Waziri Dkt. Mwakyembe na Mamlaka zingine zote husika hebu haraka sana imulikeni kwa jicho la Kiumakini mno hii idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) vinginevyo mkiendelea kuwalea hawa Watu kuna siku yaliyofanywa na hii Redio ya RTLM mwaka 1994 huko nchini Rwanda yanaweza pia yakatokea hapa nchini Tanzania.
Nawasilisha.
Kwani umetumwa usikilize? Si ipo Radio Uhuru unaweza kuendelea nayoKwani Lazima ionekane au isikike kwetu?? Tunaweza kuipiga ban tu.
Unajielewa? Au umetumwa..Unaijua BBC? au umetumwa
Unajua kiswahili kiaongewa wapi zaid? Au umetumwa
Unaijua mikataba ya kimataufa ambayo Tz imeingia? Au umetumwa
Unajua kazi za vyombo vya habari? Itakuwa umetumwa tuu si bure.
Kamwambie mwakyembe Aifungie
Mtoa mada you're right mara nyingi watu hawafaham about Neo colonialism,Nilikuwa nasikia na nikawa napuuzia ila kwa takribani mwezi mmoja sasa nimekuwa nikiifuatilia na kuisikiliza kiumakini sana Idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) hadi hatimaye nikaja kupata majibu yangu ambayo hayapishani sana na ya Wale wenzangu waliyoyaona mapema kabla yangu.
Sasa siyo Siri tena kwamba hii idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) ina chuki narudia tena kusema ina chuki ya waziwazi na Rais Dkt. Magufuli na Serikali yake. Hili linathibitika sana na maudhui ( Content ) yake hasa katika mambo yanayoihusu nchi ya Tanzania.
BBC Swahili siku zote wakija hewani lazima waje na something negative juu ya ama Rais Dkt. Magufuli au Serikali yake na ni nadra sana kuwasikia BBC Swahili ( Radio ) wakisema mabaya ya nchi ya Kenya labda kwakuwa wengi wa Watangazaji wao wa sasa hasa Bosi wao Mkuu anatokea nchini Kenya.
Hii idhaa ya BBC ( Radio ) ipo au inasikika takriban katika nchi zote tano ( 5 ) za Maziwa Makuu ( Great Lakes ) zikiwemo Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi huku kwa mbali sana kule kwa majirani zetu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lakini cha kushangaza hawa BBC Idhaa ya Kiswahili wao interest yao ni mabaya tu yanayotokea nchini Tanzania na hasa hasa yakiwa yamefanywa na Rais Dkt. Magufuli au mmoja wa Watendaji wake wa katika Serikali yake.
Mfano hai tu mara baada ya Kauli ya Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli juzi dhidi ya Mabinti wa Shule na upataji Mimba / Ujauzito Idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) walichokifanya wao ni kutafuta tu maoni ya upande mmoja tena ule ambao unaiponda Serikali na maamuzi ya Mheshimiwa Rais na kama haitoshi hawa hawa BBC Swahili badala ya kutafuta maoni ya Watu kutoka hapa hapa Tanzania wao wamekuwa wakitafuta Watu kutoka nchini Kenya na kuyasemea mambo yanayoendelea Tanzania kitu ambacho sidhani kama kina afya sana Kiueledi.
Napatwa na hisia kuwa yawezekana sasa hii idhaa ya Kiswahili ya BBC imekuwa ni moja ya Silaha Kali lakini iliyojificha ya kuweza kuangamiza juhudi zote za Rais Dkt. Magufuli pamoja na Serikali yake yote au yawezekana pia BBC Swahili ( Radio ) wanatumika na Maadui wakubwa wa Mheshimiwa Rais au nchi yetu nzuri ya Tanzania.
Tafadhali Rais Dkt. Magufuli, Waziri Dkt. Mwakyembe na Mamlaka zingine zote husika hebu haraka sana imulikeni kwa jicho la Kiumakini mno hii idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) vinginevyo mkiendelea kuwalea hawa Watu kuna siku yaliyofanywa na hii Redio ya RTLM mwaka 1994 huko nchini Rwanda yanaweza pia yakatokea hapa nchini Tanzania.
Nawasilisha.
Huo ni uongo wa kiwango cha 4G kabisa, maana pia mimi ni mfuatiliaji mzuri tu wa BBC, na hakuna siku Raisi wetu huyu amewahi kufanya kitu either kiwe kizuri au kibaya kisitangazwe na wale jamaa na uzuri wao wanakitoa kama kilivyo hawaongezi wala kupunguza chochote, kwahiyo usifikiri wale ni TBC au hizi media zetu zingine ndogo ndogo, na huu uzi wako unakuonesha kabisa kabisa upo upamde gani na si wewe peke yake nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo kulikuwa na mahojiano kati ya Malim Seif na Salim Kikeke wa BBC kile kipindi kilikosolewa sana na watu waliokuwa upande wa Seif huku kikisifiwa na watu wa upande CCM, na kwa upande wangu sikuona mapungufu ya mtangazaji isipokuwa kumnyima Maalim muda wa kujieleza zaidi. Sasa basi kama hamtaki kukosolewa basi fanyeni mazuri kama hao BBC wanawaombea njaa wakose cha kuongea, hilo linawezekana na siyo kuleta mada isiyo kuwa na fact hapa. NB KUNA VITU VINGI VYA KULETA MAENDELEO VYA KUJADILI KAMA HUNA POINTI WEWE ANGALIA KWA WENZAKO TOA MCHANGO WAKO.Nilikuwa nasikia na nikawa napuuzia ila kwa takribani mwezi mmoja sasa nimekuwa nikiifuatilia na kuisikiliza kiumakini sana Idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) hadi hatimaye nikaja kupata majibu yangu ambayo hayapishani sana na ya Wale wenzangu waliyoyaona mapema kabla yangu.
Sasa siyo Siri tena kwamba hii idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) ina chuki narudia tena kusema ina chuki ya waziwazi na Rais Dkt. Magufuli na Serikali yake. Hili linathibitika sana na maudhui ( Content ) yake hasa katika mambo yanayoihusu nchi ya Tanzania.
BBC Swahili siku zote wakija hewani lazima waje na something negative juu ya ama Rais Dkt. Magufuli au Serikali yake na ni nadra sana kuwasikia BBC Swahili ( Radio ) wakisema mabaya ya nchi ya Kenya labda kwakuwa wengi wa Watangazaji wao wa sasa hasa Bosi wao Mkuu anatokea nchini Kenya.
Hii idhaa ya BBC ( Radio ) ipo au inasikika takriban katika nchi zote tano ( 5 ) za Maziwa Makuu ( Great Lakes ) zikiwemo Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi huku kwa mbali sana kule kwa majirani zetu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lakini cha kushangaza hawa BBC Idhaa ya Kiswahili wao interest yao ni mabaya tu yanayotokea nchini Tanzania na hasa hasa yakiwa yamefanywa na Rais Dkt. Magufuli au mmoja wa Watendaji wake wa katika Serikali yake.
Mfano hai tu mara baada ya Kauli ya Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli juzi dhidi ya Mabinti wa Shule na upataji Mimba / Ujauzito Idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) walichokifanya wao ni kutafuta tu maoni ya upande mmoja tena ule ambao unaiponda Serikali na maamuzi ya Mheshimiwa Rais na kama haitoshi hawa hawa BBC Swahili badala ya kutafuta maoni ya Watu kutoka hapa hapa Tanzania wao wamekuwa wakitafuta Watu kutoka nchini Kenya na kuyasemea mambo yanayoendelea Tanzania kitu ambacho sidhani kama kina afya sana Kiueledi.
Napatwa na hisia kuwa yawezekana sasa hii idhaa ya Kiswahili ya BBC imekuwa ni moja ya Silaha Kali lakini iliyojificha ya kuweza kuangamiza juhudi zote za Rais Dkt. Magufuli pamoja na Serikali yake yote au yawezekana pia BBC Swahili ( Radio ) wanatumika na Maadui wakubwa wa Mheshimiwa Rais au nchi yetu nzuri ya Tanzania.
Tafadhali Rais Dkt. Magufuli, Waziri Dkt. Mwakyembe na Mamlaka zingine zote husika hebu haraka sana imulikeni kwa jicho la Kiumakini mno hii idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) vinginevyo mkiendelea kuwalea hawa Watu kuna siku yaliyofanywa na hii Redio ya RTLM mwaka 1994 huko nchini Rwanda yanaweza pia yakatokea hapa nchini Tanzania.
Nawasilisha.
We inakusaidia nini sasa inapotangaza kuihujumu nchi yako?Kwani umetumwa usikilize? Si ipo Radio Uhuru unaweza kuendelea nayo
Stupid commentatorNonsense comments!
Nchi yangu haijahujumiwa na yeyote kwa kuambiwa ukweli. Tumia kichwa lako vizuri.We inakusaidia nini sasa inapotangaza kuihujumu nchi yako?
Mkuu unaweza weka clip yake hapa. Nimeitafuta sana sijaipata. Najua kweli Kubenea alitamka hayaKuhusu Ben Saanane nadhani tayari Mbunge Said Kubenea alishatusadia pale aliposema kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA Freeman Alkaeli Mbowe anajua alipo hivyo iwe mwanzo na mwisho kuanzia leo kusema kuwa Ben Saanane CCM au Serikali au Vyomba vya Ulinzi na Usalama wa Serikali inajua.
This is a good observation.. big up. Twende kazi tudadavue hayaNilikuwa nasikia na nikawa napuuzia ila kwa takribani mwezi mmoja sasa nimekuwa nikiifuatilia na kuisikiliza kiumakini sana Idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) hadi hatimaye nikaja kupata majibu yangu ambayo hayapishani sana na ya Wale wenzangu waliyoyaona mapema kabla yangu.
Sasa siyo Siri tena kwamba hii idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) ina chuki narudia tena kusema ina chuki ya waziwazi na Rais Dkt. Magufuli na Serikali yake. Hili linathibitika sana na maudhui ( Content ) yake hasa katika mambo yanayoihusu nchi ya Tanzania.
BBC Swahili siku zote wakija hewani lazima waje na something negative juu ya ama Rais Dkt. Magufuli au Serikali yake na ni nadra sana kuwasikia BBC Swahili ( Radio ) wakisema mabaya ya nchi ya Kenya labda kwakuwa wengi wa Watangazaji wao wa sasa hasa Bosi wao Mkuu anatokea nchini Kenya.
Hii idhaa ya BBC ( Radio ) ipo au inasikika takriban katika nchi zote tano ( 5 ) za Maziwa Makuu ( Great Lakes ) zikiwemo Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi huku kwa mbali sana kule kwa majirani zetu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lakini cha kushangaza hawa BBC Idhaa ya Kiswahili wao interest yao ni mabaya tu yanayotokea nchini Tanzania na hasa hasa yakiwa yamefanywa na Rais Dkt. Magufuli au mmoja wa Watendaji wake wa katika Serikali yake.
Mfano hai tu mara baada ya Kauli ya Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli juzi dhidi ya Mabinti wa Shule na upataji Mimba / Ujauzito Idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) walichokifanya wao ni kutafuta tu maoni ya upande mmoja tena ule ambao unaiponda Serikali na maamuzi ya Mheshimiwa Rais na kama haitoshi hawa hawa BBC Swahili badala ya kutafuta maoni ya Watu kutoka hapa hapa Tanzania wao wamekuwa wakitafuta Watu kutoka nchini Kenya na kuyasemea mambo yanayoendelea Tanzania kitu ambacho sidhani kama kina afya sana Kiueledi.
Napatwa na hisia kuwa yawezekana sasa hii idhaa ya Kiswahili ya BBC imekuwa ni moja ya Silaha Kali lakini iliyojificha ya kuweza kuangamiza juhudi zote za Rais Dkt. Magufuli pamoja na Serikali yake yote au yawezekana pia BBC Swahili ( Radio ) wanatumika na Maadui wakubwa wa Mheshimiwa Rais au nchi yetu nzuri ya Tanzania.
Tafadhali Rais Dkt. Magufuli, Waziri Dkt. Mwakyembe na Mamlaka zingine zote husika hebu haraka sana imulikeni kwa jicho la Kiumakini mno hii idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) vinginevyo mkiendelea kuwalea hawa Watu kuna siku yaliyofanywa na hii Redio ya RTLM mwaka 1994 huko nchini Rwanda yanaweza pia yakatokea hapa nchini Tanzania.
Nawasilisha.
Mkuu umechanganya mada hapa. Unaweza ukawa unatenda maxlzuri lakini ukachukiwa na wanufaika fulani fulani! Haina uhakikaKatika maisha ukitaka usisemwe vibaya... TENDA MAZURI....