Bado kutuletea uzi wenye habari akiwa chooni au chumbani
Enzi zile kulikuwa hakuna magazeti mengi na uhuru wa habari kama miaka hii ya sasa.Ni vizuri sana Rais wetu anasali kila jumapili. Sio kama Mkapa au Nyerere ambao hawakuwa wakisali kabisa labda siku maalum zenye matukio ya kitaifa.
Ndio maana hatukuwa tunaonyeshwa mapicha yao na mavideo kanisani.
Wakatoliki hatuna roho mbaya kama hii ya kwako, tunamwombea kila tunaposali Misa.Tumsifu Yesu Kristu huyu ni mpenda sifa anataka wakatoliki tumwonee huruma ,mjinga sana delete ,futakabisa
so what? RubbishView attachment 1194739
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth , Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019
Unacheka sababu hayajakukuta kuna siku yatakukuta kama si wewe basi mwanaoAtasaidiwa kupumuliwa kule wanaaotoa huo msaada sio wa kubahatisha 😂😂😂😂🔥🔥
Plus mashehe wa uamsho kama kaweza mtoa babu seya Kwa kutamka tu.Roho wa Bwana amguse mtumishi wake aliyebeba Amani ya Tz atamke neno tu na magereza yatakuwa waziSidhani kama amewaombea akina Erick Kabendera, Lisu, Azwory, Ben Sanane, Rugemalira etc.
Mkapa lilikuwa linasali kila Jumapili tena alikuwa hachagui sehemu moja ... popote itakapomkutia Jumapili lazima asali.
Ni vizuri sana Rais wetu anasali kila jumapili. Sio kama Mkapa au Nyerere ambao hawakuwa wakisali kabisa labda siku maalum zenye matukio ya kitaifa.
Ndio maana hatukuwa tunaonyeshwa mapicha yao na mavideo kanisani.
View attachment 1194739