Rais Dkt.John Magufuli Na Mkewe Mama Janet Magufuli Leo 01/09/2019 Wameshiriki Misa Takatifu Katika Kanisa Katoliki La Mtakatifu Petro Oysterbay

View attachment 1194739

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth , Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019
Kwa Kassim Majaliwa Kassim,vipi ukikutana na Mufti ansemaje kuhusu hili?
 
Hivi marais walio mtangulia walikuwa hawana Dini?? Maana hatukuwa tuna onyeshwa haya ya awamu ya tano...
 
Tupigeni magoti tusali ama tumpelekee mganga kuku na udi,Ama tuiulize ndege yetu mbona hairudi niaje ni vipi mbona hairudi.
 
Tumsifu Yesu Kristu huyu ni mpenda sifa anataka wakatoliki tumwonee huruma ,mjinga sana delete ,futakabisa
heshimuni wenye mamraka inanainekana hata wazazi wako huwezi waheshimu raisi ni sawa na mzazi kwani yeye ni kiongozi wa nchi acha dharau na kejeli
 
View attachment 1194739

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth , Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019
Ni unafiki mtupu na show off ndiyo zimemjaa. Kwanza huyu alisha asi Ukatoliki miaka kadhaa kabla ya uchaguzi wa 2015. Anajipeleka kusali RC kudanganya umma tu kwa kuwa anajua RC ndilo dhehebu lenye influence nchini katika ukristo.

Ila hapo hakuna Mungu yeyote anayemuamini kutokana na matendo yake. Anyway hata Benito Musolini alikuwa na urafiki na Vatican lakini mwisho wa siku alikufa by firing squad yeye na mke wake kutokana na matendo yake.
 
Mungu wetu ni mwema mzidishie nguvu rais wetu maana kuna mawakala wa Shetani na Mabeberu wanapambana kumkwamisha lkn hawatashinda
 
Back
Top Bottom