Rais Dkt.John Magufuli Na Mkewe Mama Janet Magufuli Leo 01/09/2019 Wameshiriki Misa Takatifu Katika Kanisa Katoliki La Mtakatifu Petro Oysterbay

Raisi anaishi maisha yake na Mungu wake, unamwambia anatafuta sifa, asingeenda kanisani then ungesema ni Jeuri. Ndugu jitaidi kuwa mstarabu basi, aliepewa kapewa, omba sana wewe, mbona Mungu si Kiziwi, atakuja kwako tu. Uwe na amani.
punguani mkubwa wewe.
 
Awaombee wazazi Azory na Ben Mola awafanyie wepesi ili wapite Salama kipindi hiki kigumu wakiwa na matumaini kuonana na wapendwa wao.
Pia mama yake kabendera maana mwanae hawezi kupumua huko jela

Pia mguu umepata shida
 
View attachment 1194739

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth , Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019
Kwa hiyo tufanyeje sasa?
 
Imani lazima ionekane katika matendo yako, kama matendo yako hayaendani na mafundisho ya dini yako sawa.
 
Huyu dhambi zake kusamehewa inabidi aombe sana !

Maombi tena si ya kitoto damu za watu wengi sana zinamlilia

Kuna watu hata waombe vipi maombi yana dunda juu ya wingi wa dhambi.MTU mwenye dhambi unamchana live akirudi tena ibadani kweli ameokoka,taratibu zinakulinda ukiwa ndani ya church
 
Dah ila huyu jamaa sipati huko mbinguni wanavyo mmind kwa mishe zake hizi za kinafiki

Yaan bob ni mnafiki kichizi

Shosti copy Na paste Jirani mwema MTU mrefu ticha anaemiliki nchi sawa na wilaya ya Tarime vipi uonekana pande hizi za kujazia watu mabenchi?
 
Kuna watu hata waombe vipi maombi yana dunda juu ya wingi wa dhambi.MTU mwenye dhambi unamchana live akirudi tena ibadani kweli ameokoka,taratibu zinakulinda ukiwa ndani ya church
Huyu jamaa ni mnafiki sana

Yaani mi nakasirika kwa haya mambo yake anaboa sana

Damu ya Aquilina inamlilia mpaka leo !

It is better abadilike akitaka ajue watu wanamchukuliaje aangalie watu wanaongeleaje kuhusu suala la ndege
People are divided because ya mambo yake ya ajabu

Hapa utakuta nmemwambia ukweli akatuma vibaraka wake wanitafute wanitese waniue - ndo mambo ya huyu bwana

Bwana Magufuli popote ulipo Mungu Bado anakupenda una nafasi ya kubadilika
Ipo nafasi bado ipo na imani ipo

Hebu fikiri leo Lissu Angekua marehemu

Aisee it could hunt you maisha yako yote

Yaani bado hujali unamfungulia kesi unampora ubunge

My dude


You need to change
 
Kwa sababu yeye ndiye mhusika mkuu wa hayo maovu wanayotendewa Watanzania wasio na hatia yoyote.

Aisee ila kama anaenda kanisani kila wiki kwanini watu wanafanyiwa mabaya na yeye yiko kimya?
 
Back
Top Bottom