Rais Dkt John Magufuli amtembelea Mzee King Majuto hospitalini kumjulia hali

Mbona kwa Antipas haikuwa hivyo?
Lisu Anatibiwa hospitali za watanzania? Anataka pesa zetu za kigeni wapewe waganga wa nchi zingine anasomba pesa zetu za kigeni kwenda kuwapa wakenya na wabelgiji badala ya kuwapa mahosputali yetu na madaktari wetu .Anafisadi pesa za kigeni akiwa Mahospital ya Kenya na ubelgiji.Mzee majuto kaokoa hela za kigeni haki yake kuona na raisi
 
Huyo Lisu si alikimbilia Nairobi, unataka Rais afunge safari akamtembelee? Ujinga mwingine uacheni huko huko ufipa.
Lisu Kakimbilia Nairobi kabla hata raisi hajatulia afikirie kumtembelea au LA huyo katimua mbio kakimbilia ubelgiji akiwa nw drip mikononi na sindano ambayo nurse alimchoma kabla hajaochomoa
 
Alafu baada ya Mwezi anaenda kupumzika. Ukijiuliza amefanya nini hupati jibu. Sijui kwa nini hakwenda Ethiopia huenda angekuja na mpya . Nikiangalia kwa wiki hii alichokifanya mh!
 
Lisu Anatibiwa hospitali za watanzania? Anataka pesa zetu za kigeni wapewe waganga wa nchi zingine anasomba pesa zetu za kigeni kwenda kuwapa wakenya na wabelgiji badala ya kuwapa mahosputali yetu na madaktari wetu .Anafisadi pesa za kigeni akiwa Mahospital ya Kenya na ubelgiji.Mzee majuto kaokoa hela za kigeni haki yake kuona na raisi
Uhai na Pesa kipi bora?najua wewe upo upande wa pesa zaidi.
 
Uhai na Pesa kipi bora?najua wewe upo upande wa pesa zaidi.
Pesa kama alizotumia Lisu zingeweza tibu wagonjwa zaidi ya milioni moja wakapona.Mgonjwa mmoja kutumia mamilioni ya pesa huku kukiwa na wagonjwa kibao waliokosa dawa kwa kukosa pesa sikubaliani uhai huangalii wa MTU mmoja tu unaangalia gharama zake na athari kwa wengine pia
 
Back
Top Bottom