Rais Dkt John Magufuli amtembelea Mzee King Majuto hospitalini kumjulia hali

Kwako wewe ni upupu kwa sababu akili yako imefungwa kwenye box la fikra, lakini ukiwa na fikra zilizo huru lazima uwe mtu wa kuhoji, kutafakari na kudadisi kwa kila jambo
Wewe ndo akili yako haijafugwa? Acha kujifanya mjuaji wewe, hapo wengine wameleta hoja za msingi kuhoji Lissu vipi?

Na hao naunga mkono hoja zao, siyo kama jamaa yako huyo na ndio maana nikaita upupu. Asante kwa kumwakilisha vema huyo niliyemqoute.
 
Hapo leo umenisuuza Bwana mkubwa mengine natupa huko hongera kwa kumtembelea King
 
Pesa kama alizotumia Lisu zingeweza tibu wagonjwa zaidi ya milioni moja wakapona.Mgonjwa mmoja kutumia mamilioni ya pesa huku kukiwa na wagonjwa kibao waliokosa dawa kwa kukosa pesa sikubaliani uhai huangalii wa MTU mmoja tu unaangalia gharama zake na athari kwa wengine pia
Unachoandika nafikiri unaweza kukisoma mwenyewe,sikumbuki ni lini nilikua nafikiri kama wewe.
 
Alafu baada ya Mwezi anaenda kupumzika. Ukijiuliza amefanya nini hupati jibu. Sijui kwa nini hakwenda Ethiopia huenda angekuja na mpya . Nikiangalia kwa wiki hii alichokifanya mh!

Wewe umefanya ni cha maana katika nchi zaidi kushinda mitandaoni na kutoa lugha za kejeli...shame on you
 
Back
Top Bottom