Rais B.Mutahrika amchagua mkewe waziri ofisi ya rais

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Kazi tunayo africa
haya baada ya kuona isiwe taabu museveni kamchagua mkewe nae rais wa malawai akusita kumchagua mkewe kama waziri katika ofisi ya rais haya nimesikia leo asbh redio one
hakika naona umwinyi umeanza kuwaingia marais wetu wa africa haya kazi kwako mama salma kikwete naamini baraza lijalo mungu awezi kukutupa
 
Mkuu hata TZ first lady wetu ni waziri asiye na wizara maalum. Hujajiuliza kwa nini wakuu wa wilaya na mikoa wanampa ripoti za maendeleo ya mikoa na wilaya zao? anayestahili kupewa ripoti hizo ni waziri, w/mkuu au rais mwenyewe. Lakini mama yetu wa kwanza akifika shughuli zinasimama na anasomewa ripoti.
 
Back
Top Bottom