mtoa mada.
naomba nikukumbushe mambo matatu kisha hii thread ifungwe.
1). milango ya polisi na mahakama iko wazi tunakuomba utangulie nchemba atakuja.
2).jf ina rule zake mimi siwezi kujadili jambo eti kwasababu katajwa nchemba.ni sawa na kujadili riport ya siri ya YERICO NYERERE na BEN SAA8.
3).hii part 1 mjadala wake ulishafungwa hatuwezi kuharibu kodi zetu na kuwasumbua majaji wakati mwenye video yupo na ameikalia.
BAADA YA KUSEMA HAYO HAYA SASA HII THREAD IFUNGWE.
Nashukuru mkuu,
I promis to be publicized before 15/01/2014
Na kwa hili Mwigulu hawezi kuchomoka wala kujitetea kwani ni kweli aliongea na kutoa viashiria vyote juu ya yale yaliyotokea soweto.
NB:
Ushaidi nilionao na ule Chadema wanaosema wanao ni tofauti kabisa na nitasimama juu ya kile nilichokiona na kukisikia na sio kuhisi au kuambiwa. Sitoogopa.
wewe ni mjinga sana, kwa hiyo unafurahi sana unapoona mwigulu anafanikiwa kuua watanzania wasio na hatia? Kwanza acha kutumia hata hilo jina Lizabon, watu wa pale lizabon hawana roho ngumu kama yako, wengi maisha yao ni magumu sana, ccm haija wasaidia cho chote.Mwigulu Nchemba anawanyima sana usingizi CHADEMA. Nawahakikishia kuwa he is our next Minister for Home Affairs. Hapo ndipo mtakapokoma na kusaga meno
Ndugu kama hakuna ulazima wa kusubiri sana ni bora uweke kila kitu hadharani ili umma ujue mapema na lolote litakalokukuta tutajua ni nani muhusika.
Pia,baada ya kuweka hadharani hii nia yako,uwe makini sana kwani huenda ukawa umeweka rehani maisha yako.
Kumbuka watu hawapendi ushahidi na hivyo wanaweza kukudhuru.
wala huna haja ya kusikitika , TUNASEMA HIVI , KILA ALIYEHUSIKA KWENYE HILI ATABAINIKA NA MOTO UTAMWAKIA , WAKO WENGI NA WENGINE WANATOKA NJE YA CCM .
Vipi ushahidi wa mbinguni umeishia wapi?.
Ushauri
Kama unayosema ni kweli fungua kesi mahakamani; shirikiana na wajasiri wa chadema ikiwemo wanasheria maana hawan ushahidi tu wa kuthibitisha kama unao amekwisha huyo hii haihitaji hata wale majaji; unatakiwa ufungue kama mshiriki wa kikao pia ufungue kama mwathirika so hiyo kesi iinaisha asubuhi na kumweka korokoroni huyo savimbi; CCM mmeona ubaya wa hawa watu walivyo; niliona na kushuhudia baadhi ya matukio na niliweka hapa kuwa nchimbi na mwigulu ndio wauaji lakini haikuweza kukaa hata dk 2 ikatolewa na yule msaliti na kiongozi wa JF ambaye ameshakula mlungula mpaka amesahau phylosophy yake mwenyewe; we currently don't dare talk openly
To all; the best you can do is to be away from CCM
Kama ni kweli japo niko CCM,kwanza sihami chama lakini Mwigulu sitashikana mkono na wewe wala kuwa mfuasi wako. Takuwa mfuasi wa CCM tu.
Tatizo uzi kama huu hauwezi kudumu hapa.
Mods msifunge huu uzi kama mtuhimiwa amekerwa aende mahakamani.
Mwigulu mwenyewe ni mtu wa kutoa tuhuma hadharani hivyo mwacheni nae aumbuke.
Ni mtazamo wangu unaotokana na kuwepo hapa jukwaani kwa muda sasa.
Mkuu Wa Kaya Jisalimishe Polisi Ukapate Hifadhi Wakati Kesi Inaendelea Tutakumiss Sana Wakikukolimba!
Hizi ni ngonjera za kipuuzi sana. Kwa nini mnahangaika na mariwaya wakati mwenyekiti wenu anasema kuwa anayo CD inayoonesha waripuaji wa bomu pale Soweto?
Mwigulu Nchemba anawanyima sana usingizi CHADEMA. Nawahakikishia kuwa he is our next Minister for Home Affairs. Hapo ndipo mtakapokoma na kusaga meno
mkuu, roho mbaya anayo mbowe na slaa ambao wametelekeza familia zao kwa tamaa zao za kimwili
Hawa jamaa wa Jf tangu nimesoma Mawio jana sitaki kuwaamini hata chembe they are not trustful at all, maana naona kunaconnectiona na tiss, zitto n.k so endeleeni kutumia hili jukwaa lao but not me hivi ndio tunaagana tubaki fb tu kunatosha sio humu tena( Privacy at Risk)
Mkuu hata gazeti la MAWIO la tar 26/12/2013 liliweka mawasiliano ya huyu mmoja wa wamiliki wa mtandao wa jamiiforums jinsi alivyokuwa akiwasiliana na Zitto,kwa ambao walibahatika kulisoma gazeti la MAWIO mtakubaliana na mimi ila nimesikitika mpaka waandishi wa habari wanaotakiwa kutoa habari bila ya upendeleo wamekuwa sehemu ya 'wahalifu'.
Usingizi utatoka wapi?wakati roho za wtz zinawindwa usiku na mchana na gaidi Savimbi?. Kama Mwigulu atakuwa waziri wa mambo ya ndani hapo hakuna tatizo.Tatizo ni usalama wa wananchi utakuwaje?siyo kwamba wanaoumizwa na huyu mtu ni wana CHADEMA peke yao wapo wana CCM wengi waliyo umizwa na huyu mtu akiwemo Musa Tesha aliechongwa kwa tindikali ili aweze kumtumia kwenye kampeni kama kete ya ushindi.Yupo huyu mleta uzi ambae alikuwa mwanachama wa CCM lakini mtoto wake aliuawa kwenye mkutano wa CHADEMA.