Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 409
Nashukuru mkuu,
I promis to be publicized before 15/01/2014
Na kwa hili Mwigulu hawezi kuchomoka wala kujitetea kwani ni kweli aliongea na kutoa viashiria vyote juu ya yale yaliyotokea soweto.
NB:
Ushaidi nilionao na ule Chadema wanaosema wanao ni tofauti kabisa na nitasimama juu ya kile nilichokiona na kukisikia na sio kuhisi au kuambiwa. Sitoogopa.
Mkuu tuamini nini tuache nini, mnatuchanganya mno!! Mbona M.Nchemba hana sura ya FRANKENSTEIN, sasa ukatiri mnao mtuhumu kajifunza wapi? kama nakumbuka vizuri niliwahi kuona picha aliyo kuwa amembemba mtoto wake mgongoni kwa mbereko, kisaikolojia hii inadhilisha nini? kwamba ana traits za u-split personality i.e ni mtu mwema kwa familia yake na close relatives lakini hajali Watanzania wenzake anao tofautiana nao kihitikadi - maanake hii ndio impression inayo tolewa na members wengi humu jamvini!! Binafsi siamni kama ana ukatili wa namna hiyo - he may be a forceful speaker lakini I don't think Nchemba is some monster - if my memories serves me right I don't recall M.Nchembe eating anyone dead or alive!! Kitu kingine kuna thread aliyo kuwa anajieleza kilicho jiri - watu wengi walimjibu lakini yeye alikaa kimya kwa nini hamjiulizi ni kwa nini? Mimi sio kwamba namtetea Nchemba au Nchimbi, kwanza hawanijui - ila wakati mwingine tujaribu kuchambanua matukio kwa kina - kwa watu wenye uelewa wa fani ya IT na Security hivi inaingia akilini kwamba Waziri nzima anaweza kutumia Webmail kuwasiliana na mwenzake masuala sensetive alafu ataje majina alisi, saa na sehemu ya kukutana na list ya watu wa kuwa-eliminate physically - hii inaingia akilini KWELI? Hivi Taifa letu limekwisha fikia hatua ya kuteua Viongozi ambao wako so SLOPPY, hawajui tofauti kati ya E-MAIL na Snail Mail wasijue mambo ya usalama wanapo pitisha E-mails zao kwenye CLOUD? hawajawahi kusikia cerficates, publickeys na privatekeys - JAMANI.
Mkuu ya kaya, nakusikitikia sana au pengine sijakuelewa vizuri. Kwanza unasema ulihudhuria kikao kwasababu ulikuwa unampigia kampeni mgombea mmojawapo wa CCM, Pili ulisikiliza yote yaliyosemwa ndani ya kikao hicho, Tatu mwanao aliuwawa kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA. Hebu nithibitishie kama kweli nimekuelewa vizuri au sijakuelewa maana kuna kitu nataka nikushushue!!
Mkuu, kwa mawazo yako unafikiri uzi huu mlengwa mkubwa ni NANI? I am sure unajua ninacho kisema hapa - sio lazima uko-comment , unaweza kusoma uka-ignore na ku-move ON.Sasa ulichokiandika mbona hakishabihiani kabisa na hii post?
ALIKUWA ANAWATAHADHARISHA NA BOMU LA cHINA, SI UNAONA KILICHOFUATA BAADA YA PALE... YAANI NCHI HII KUNA WATU WANAJIONA NI MIUNGU AISEE..
Wakati huo unayafanya haya agana na nyonga kabisa maana hawachelewi kukupoteza wale, kama wanaona poa kuua watu makumi na mamia ya watu kwa mabomu hawashindwi kuku MVUNGI.
Ndungu yangu jihadhari Savimbi hata lala usingizi mpaka amehakikisha amekutoa roho.
Uko sahii mkuu na wala hukunielewa vibaya.
Nilipanga leo niingie mahakamani na ushaidi wa kutosha wa kumwingiza Mwigulu hatiani, Tatizo ushaidi wa kufungua kesi ya jinai ndio haujajitosheleza kwani ushaidi wa kimazingira upo ila kisheria unaonekana kama ni ushaidi unaoongozwa na hisia kwa upande mkubwa.
Ila ukweli ni kwamba Mwigulu Nchemba is a One Director of Soweto Bom.
Na kudhibitisha hili haitafika Tarehe 15/01/2014 bila kujitokeza kwenye vyombo vya habari na kuweka haya yote hadharani, labda itokee niwe marehemu kama mwanangu.
Ushauri
Kama unayosema ni kweli fungua kesi mahakamani; shirikiana na wajasiri wa chadema ikiwemo wanasheria maana hawan ushahidi tu wa kuthibitisha kama unao amekwisha huyo hii haihitaji hata wale majaji; unatakiwa ufungue kama mshiriki wa kikao pia ufungue kama mwathirika so hiyo kesi iinaisha asubuhi na kumweka korokoroni huyo savimbi; CCM mmeona ubaya wa hawa watu walivyo; niliona na kushuhudia baadhi ya matukio na niliweka hapa kuwa nchimbi na mwigulu ndio wauaji lakini haikuweza kukaa hata dk 2 ikatolewa na yule msaliti na kiongozi wa JF ambaye ameshakula mlungula mpaka amesahau phylosophy yake mwenyewe; we currently don't dare talk openly
To all; the best you can do is to be away from CCM
Mwigulu Nchemba tunaitaji majibu yako hapa...Damu za watoto zinakulilia.
Wewe ndio unaona umbeya. Watu wamekufa wewe unasema umbeya?
Acha unafiki. Acha kulisha watu sumu, kama ulishiriki kikao hicho kwann hukusema mapema. Huo ni unafiki na uzandiki, tutaaminije maneno yako pasipo kielelezo chochote!!? Wadanganye wasio na uwezo wa kutafakari mambo mimi muelevu siwezi kamwe kuamini uzushi wako. Lindeni heshima ya nchi yetu kwa ukweli. Uzushi utaliangamiza taifa.
Acha unafiki. Acha kulisha watu sumu, kama ulishiriki kikao hicho kwann hukusema mapema. Huo ni unafiki na uzandiki, tutaaminije maneno yako pasipo kielelezo chochote!!? Wadanganye wasio na uwezo wa kutafakari mambo mimi muelevu siwezi kamwe kuamini uzushi wako. Lindeni heshima ya nchi yetu kwa ukweli. Uzushi utaliangamiza taifa.