Rais anasema Eti anaomba muendelee kumuombea ili Urais usimpe kiburi na jeuri

Hivi wewe mbona kila kitu ni,eti,eti,eti,we ni KE.sio sasa jitokeze basi tukuone sio unajificha nyuma ya key board halafu unaandika eti,eti,nyumbu wee
 
Dah.... Profesa mshana jr.... Seyyid Cubenea anajua Ben alipo.... Mkimminya kengele anawaonyesha
Damu ya Ben inamtesa Magufuli na itamtesa hadi anaingia kaburini, angekuwa hahusiki angeshaagiza Ben atafutwe hadi apatikane kwani vyombo vyote anavyo. Wazazi wa Ben wanamlilia, ndugu wa Ben wanamlilia, rafiki wa Ben wanamlilia na Watanzania wote wanaomuogopa Mungu wanamlilia mkuu wa vikosi vyote Tanzania. Wasiomlilia Ben ni wale tu waliomteka, wakamtesa na kuna hofu wamempoteza. Kosa la Ben lilikuwa kuvalia njuga swali la vyeti vya wasiogusika.
 
Mbona hata Shetani huwa anajiona kama Kasisi flani hivi, anayependa Watu wasipate Shida, wajirushe, yaani full shangwe
 
watanzania hawataki kuambiwa wafanye lolote wanapenda sana kubakia maskini kila siku.
 
Huyu mtu ni katili, asiyejali wala si mnyenyekevu. Kutoa amri ukiwa jukwaani ya kutimua wafanyakazi na wapiga kura wako zaidi ya 9,000 bila sheria na taratibu za utumishi wa Umma kufuatwa ni kitendo cha kinyama mno. Hata wauaji hupewa haki ya kusikilizwa.
 
Alikuwa na nafasi ya kupendwa kuliko marais wote waliowahi kutawala nchi hii,
angeacha legacy kubwa tu,tatizo kiburi kimemuharibia,
sisi hatuwezi kumuombea ili asiwe na kiburi kama kiko kwenye DNA yake,hakuna amount ya maombezi itakiondoa kiburi,
ni yeye mwenyewe peke yake ndo awezae kubadirika
 
Nafikiri mnaweza mkaona sura yangu, ni inawezekana inatafsiriwa mtu katili, wa ajabu, siko hivyo, mimi ni mpole, mnyenyekevu, mwenye upendo mkubwa, ninayeogopa dhambi na mwenye hofu ya Mungu lakini ukweli mimi ni mkali kwa maovu’-Rais Magufuli.

my take: hiv rais amejuaje kuwa huenda anafsrika kuwa ni katili?
Natamani niuone ukali wake pia kwa wanasiasa waovu watumiao vyeti vya kugushi na majina ya wengine katika nyadhifa zao.hapo nitaelewa somo.!!
 
Anajishtukia mwenyewe;Yy kaambiwa na nani watu wanamuona katili.?
Kimjaacho mtu moyoni ndio kimtokacho.
Ata hivyo mimbali zile zina nguvu sana labda jamaa ameamua kukili mwenyewe kuwa
Yy ni katili.
Maana kuna siku alikuwa kanisani akasema tena mpaka sadaka za makanisani pia zipingue.sasa anaoana raha gani sadaka zikipungua makanisani.
 
Nafikiri mnaweza mkaona sura yangu, ni inawezekana inatafsiriwa mtu katili, wa ajabu, siko hivyo, mimi ni mpole, mnyenyekevu, mwenye upendo mkubwa, ninayeogopa dhambi na mwenye hofu ya Mungu lakini ukweli mimi ni mkali kwa maovu’-Rais Magufuli.

my take: hiv rais amejuaje kuwa huenda anafsrika kuwa ni katili?
Bora hata ungekua na sura ya kikatili mkuu ila wewe una roho ya kikatili. Sura sio kazi yako kuiumba ila roho/moyo unaweza kuubafilisha yani utajiweka unavyopenda wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom