Rais anampenda mke wangu

nimeshindwa kuvidownload vile vitabu. ingawaje kama kuna aliyefanikiwa anaweza kunipa ninaweza kutoa password kwenye pdf document. anaweza kunipa nikatoa tukashare umasikini pamoja na wenzetu.
 
Enzi hizo lazima ununue gazeti la Ijumaa au Uwazi ufatilie hadithi zake
Noma katikà uwazi palikuwa na story moja Kali sana inaitwa Judge nieleze nini kitanipata , ---- baada ya hiyo kuisha ndio ikaja Raisi anampenda mke wangu
 
Noma katikà uwazi palikuwa na story moja Kali sana inaitwa Judge nieleze nini kitanipata , ---- baada ya hiyo kuisha ndio ikaja Raisi anampenda mke wangu
Umetishaaaa, una kumbukumbu nzuri sana
 
Huyu lazima ataku rais Kikwete
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…