Rais ana mamlaka juu ya mawaziri wa Zanzibar ambao si wa muungano?

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Je, hii amri inafaa kwa waziri wa Zanzibar ambaye si wa muungano au ilibidi Shein ndiye amuamlishe..!! Ufafanuzi please!

6985163d1097145dd4ef25e4c14d71b5.jpg
 
GUYS MELI ZINAZOSAJILIWA ZINASAJILIWA ZANZIBA NAKUPEWA BENDERA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.KITENGO CHA USAJILI KIKO ZANZIBA.KWA KUWA SUALA LA MELI NI LA USALAMA WA TANZANIA NA SIYO ZANZIBA BASI MWENYE MAMLAKA YA MWISHO NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MENGINEYO YALIFANYIKA KIMAZOEA TU

Je, hii amri inafaa kwa waziri wa Zanzibar ambaye si wa muungano au ilibidi Shein ndiye amuamlishe..!! Ufafanuzi please!
 
As long as hizo meli zinapeperusha bendara ya Tanzania, Magufuli is damn right.

Zanzibar wana bendera. Itumike hiyo kwenye meli wanazosajili kama wao ni sovereign state. Bure alichukiwa Mizengo Pinda. Zanzibar si nchi, ni sehemu ya JMT!

Huu upuuzi umefumbiwa macho kwa muda mrefu. Enough is enough.
 
Mwisho

Hilo swala linagusa Ulinzi na Usalama, Mahusiano ya kimataifa, Biashara ya kimataifa, Matumizi ya bendera ya Taifa

Hivi vyote msimamizi wake mkuu ni Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ndiye mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi, na mtu huyo kwa sasa ni Magufuli
 
GUYS MELI ZINAZOSAJILIWA ZINASAJILIWA ZANZIBA NAKUPEWA BENDERA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.KITENGO CHA USAJILI KIKO ZANZIBA.KWA KUWA SUALA LA MELI NI LA USALAMA WA TANZANIA NA SIYO ZANZIBA BASI MWENYE MAMLAKA YA MWISHO NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MENGINEYO YALIFANYIKA KIMAZOEA TU
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri
 
Rais Wa(JMT ) Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania ,URT (The United Republic Of Tanzania )
************************************************************
 
Back
Top Bottom