Rais ana mamlaka juu ya mawaziri wa Zanzibar ambao si wa muungano?

As long as hizo meli zinapeperusha bendara ya Tanzania, Magufuli is damn right.

Zanzibar wana bendera. Itumike hiyo kwenye meli wanazosajili kama wao ni sovereign state. Bure alichukiwa Mizengo Pinda. Zanzibar si nchi, ni sehemu ya JMT!

Huu upuuzi umefumbiwa macho kwa muda mrefu. Enough is enough.
Yes anatetea bendera ya taifa manake hata mkenya anaweza kemewa
 
Aaron

Raisi wa Serikari ya Muungano ambaye ndiye Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi yuko juu ya viongozi wote.

Uwe unatumikia serikari ya Muungano, ya Zanzibar, au sekta binafsi, jua yuko juu yako.

Mkuu,

Usidanganya umma.

Rais wa muungano hana mamlaka na mawaziri wa Zanzibar.
 
Mkuu,

Usidanganya umma.

Rais wa muungano hana mamlaka na mawaziri wa Zanzibar.

Hakuna namna ambayo unaweza kumkwepa Raisi wa Muungano na mamlaka yake

Yeye ndiye Mkuu wa Nchi, Yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu, na kama ni mwana CCM yeye ndiye Mwenyekiti wa Chama

Kupitia kote huko anaweza kukupangia majukumu kama ulikuwa huna, kukuongezea, kukupunguzia, pamoja na kukuadhibu pale unapokosea
 
Subiri siku CUF ikichukua urais Zanzibar ndiyo ujue utamu wa kuzembea aina ya muungano tulio nao.
 
Hakuna namna ambayo unaweza kumkwepa Raisi wa Muungano na mamlaka yake

Yeye ndiye Mkuu wa Nchi, Yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu, na kama ni mwana CCM yeye ndiye Mwenyekiti wa Chama

Kupitia kote huko anaweza kukupangia majukumu kama ulikuwa huna, kukuongezea, kukupunguzia, pamoja na kukuadhibu pale unapokosea

Hapa haitoki amri ya kijeshi bali ni amri ya kiutawala.

Hivi huna habari Karume aliwahi kuzuia wanajeshi wa Zanzibar wasiende vitani Msumbiji.

Na unaposema ni Mwenyekiti wa Chama, ni chama gani TANU au AFRO.

Shughuliki matatizo ya muungano kama hili na si kudanganya watu humu.
 
As long as hizo meli zinapeperusha bendara ya Tanzania, Magufuli is damn right.

Zanzibar wana bendera. Itumike hiyo kwenye meli wanazosajili kama wao ni sovereign state. Bure alichukiwa Mizengo Pinda. Zanzibar si nchi, ni sehemu ya JMT!

Huu upuuzi umefumbiwa macho kwa muda mrefu. Enough is enough.
Unajua maana ya Chain of command kwenye management!

Rais Hana Mamlaka ya kisheria kumuamuru Mtu ambae hajamteua wala hiyo Mtu hakateuliwa na Mteule wa Rais!
Waziri wa Zanzibar hajateuliwa na Rais wa Muungano na wala aliemteua Waziri wa Zanzibar sio mteule wa Rais wa Muungano

Powe and Authority yako source yako inaishia kwa uliemteua, Mteule wa Mteule wako au Kama umekasimishwa Madaraka hapo hata usiemteua unaweza kumuamirisha Kama huyo mteuliwa kachaguliwa na aliekukasimisha Madaraka
Mf. Mkuu wa Mkoa anaweza kumuamuru Katibu tawala au Wakuu wa Wilaya wa Mkoani kwake kwa kuwa atatumia Madaraka aliyokasimiwa na aliewateua na DC na Ras
 
Kuna jambo nahitaji kujua hapa.
Navyojua Zanzibar inayo bendera yake.
Swali. Je Ofisi za serikar ya Zanzibar zinakuwa zinapeperusha bandera ipi au ni zote?

Maana huwa naenda ila sijawahi fikiria hiki kitu
 
As usual ni mwendo wa kukurupuka tuuuu

Mambo ya Muungano yapo kama 3 hivi, nayo ni Wizara ya Ulinzi, Wizara Mambo ya Nje na Wizara ya mambo ya ndani

Hizo Wizara nyingine anapaswa kushughulikia Rais wa Zanzibar
 
Zanzibar ni kama mkoa tu Hugo rais hana tofauti na mkuu wa mkoa wa DSM
 
Back
Top Bottom