Rais ana mamlaka juu ya mawaziri wa Zanzibar ambao si wa muungano?

As long as hizo meli zinapeperusha bendara ya Tanzania, Magufuli is damn right.

Zanzibar wana bendera. Itumike hiyo kwenye meli wanazosajili kama wao ni sovereign state. Bure alichukiwa Mizengo Pinda. Zanzibar si nchi, ni sehemu ya JMT!

Huu upuuzi umefumbiwa macho kwa muda mrefu. Enough is enough.

Lugha ya hovyo na nadhani hata sura yako itakuwa ya hovyo.
 
Kuna vitu vinachanganywa hapa.

1/Kusajiriwa kwa Meli.
Nani mwenye mamlaka hayo?
Waziri wa Tazania pekee au hata waziri wa Zanzibar?
Sheria ya Usajiri wa meli inasemaje?
Suala la Usajiri wa Meli ni suala la kibishara, miundo mbinu, Uchukuzi au usalama. Kama ni jambo la biashara, miundo mbinu au uchukuzi basi sio suala la muungano, hivyo waziri wa Zanzibar pia anawajibika kusajiri. Na kama ni suala la Usalama basi hilo ni suala la Muungano na waziri wa Zanzibar hawajibiki kusajiri Meli.

2/Kupeperusha Bendera ya Tanzania.
Ni lazima meli ikisajiriwa ipeperushe bendera?
Vipi kama itasajiriwa na isipeperushe bendera?

3/Waziri wa Zanzibar.
Anateuliwa na rais wa Zanzibar na anawajibika kwa Zanzibar, ni rais wa Zanzibar pekee mwenye maamlaka ya kumuarisha au kumuwajibisha.
Vipi ikitokea waziri huyo wa Zanzibar akagoma kutii hilo agizo la Magufuli, je Magufuli anaweza kumuwajibisha?

HITIMISHO
Magufuli hana mamlaka yoyote wala nguvu yoyote ya kisheria ya kumuamrisha au kumuwajibisha mtumishi yoyote wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, kwa sababu hajamwajiri, hawajibiki kwake, hamtumikii na wala hamlipi.
 
Je, hii amri inafaa kwa waziri wa Zanzibar ambaye si wa muungano au ilibidi Shein ndiye amuamlishe..!! Ufafanuzi please!

6985163d1097145dd4ef25e4c14d71b5.jpg

Watu wengi hawafahamu kuwa huu si muungano .Huu ni uvamizi uliopewa jina la Muungano. Tanganyika chini ya Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte aliyechaguliwa na wananchi na kumfunga katika magereza ya Tanganyika pamoja na mawaziri wake bila kuwafikisha mahakamani kabla hata huo uitwao Muungano haujafikiriwa
 
Kwa hiyo kumbe anaweza kudinda hasitoke ?
Yeah hana mamlaka yoyote ya kumtoa coz kule anachaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura na sio kwa kuteuliwa na magufuli akimfukuza kwenye chama ndio itakua kashapoteza kuwa na sifa ya kuwa rais hivyo ni lazma ajiuzulu tu uraisi
 
Ikiwepo sheria isikuepo Kwa utawala wakina Shein utegemee nini zaidi yakutii amri?
Subiri Siku Hamad Atakapokua raisi alafu Magu atoe mikwala kama iyo tuone patakavochimbika.
 
President Magufuli ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndio amiri jeshi mkuu ndio taswira ya nchi ndio kiongozi mkuu wa nchi kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania sasa mtu mwengine anapata wapi uthubutu wa kuhoji kama kuzui usajili wa meli usiendelee kupitisha uchunguzi ni halali. Watu wengine wanakera waende shule kwanza halafu ndio waombe kuwa member wa JF.
 
Hapa haitoki amri ya kijeshi bali ni amri ya kiutawala.

Hivi huna habari Karume aliwahi kuzuia wanajeshi wa Zanzibar wasiende vitani Msumbiji.

Na unaposema ni Mwenyekiti wa Chama, ni chama gani TANU au AFRO.

Shughuliki matatizo ya muungano kama hili na si kudanganya watu humu.
Wanajeshi wa JWTZ au KMKM ?
 
As usual ni mwendo wa kukurupuka tuuuu

Mambo ya Muungano yapo kama 3 hivi, nayo ni Wizara ya Ulinzi, Wizara Mambo ya Nje na Wizara ya mambo ya ndani

Hizo Wizara nyingine anapaswa kushughulikia Rais wa Zanzibar
Kwaiyo nani kakurupuku?

Wewe ndio naona umekurupuku hapa rais alikuwa anatolea maelezo juu ya meli zilizosajiriwa Tanzania na zikipeperusha bendera ya Tanzania.
 
Je, hii amri inafaa kwa waziri wa Zanzibar ambaye si wa muungano au ilibidi Shein ndiye amuamlishe..!! Ufafanuzi please!

6985163d1097145dd4ef25e4c14d71b5.jpg

unavyoona wewe rais makufuli ni wa tanganyika au tanzania je uonavyo rais makufuli ni amiri jeshi mkuu wa tanganyika au tanzania jibu unalo au hujui maana ya tanzania na tanganyika
 
Mambo mengine yanatia kichefuchefu.
Open Register ni mambo ya kihuni usipokuwa na ujuzi au uelewa wa jambo.
Hawa watu waliingia tamaa ya pesa na kuzisajili meli kupitia tena kwa wakala alie Dubai.Kumbe wanatupandisha kwenye mwamba.
Kama haitoshi waliendelea kusajili huku IMO ikipiga kelele lakini hao jamaa waliziba maskio.
Magufuri kama kweli ndie Jemedari mkuu na Raisi wa Muungano akamate hao wahuni na kuwasweka ndani mara mmoja ni wahaini.
Vinginevyo iwe ni serikali mmoja.
Huo ujanja wa Nyerere wa serikali 2 badala ya 1 au 3 una mapungufu mengi na tunazidi kupata hasara kubwa sana.
 
Mchwa huliangusha Gogo Kwa kulitafuna polepole. Walianza akina Babu miaka hiiyoooo akiwa Waziri .siku ya pwaaa haiko mbali. Mambo ni kidogo kidogo
 
Zanzibar ni koloni la Tanganyika kwahiyo Rais wa Tanganyika ambae amevikwa urais wa Muungano ana mamlaka ya kufanya chochote kwa Zanzibar
Muwe mnaacha kauli za kichochezi hivi rais mwinyi alikuwa wa bara?
 
Kuna vitu vinachanganywa hapa.

1/Kusajiriwa kwa Meli.
Nani mwenye mamlaka hayo?
Waziri wa Tazania pekee au hata waziri wa Zanzibar?
Sheria ya Usajiri wa meli inasemaje?
Suala la Usajiri wa Meli ni suala la kibishara, miundo mbinu, Uchukuzi au usalama. Kama ni jambo la biashara, miundo mbinu au uchukuzi basi sio suala la muungano, hivyo waziri wa Zanzibar pia anawajibika kusajiri. Na kama ni suala la Usalama basi hilo ni suala la Muungano na waziri wa Zanzibar hawajibiki kusajiri Meli.

2/Kupeperusha Bendera ya Tanzania.
Ni lazima meli ikisajiriwa ipeperushe bendera?
Vipi kama itasajiriwa na isipeperushe bendera?

3/Waziri wa Zanzibar.
Anateuliwa na rais wa Zanzibar na anawajibika kwa Zanzibar, ni rais wa Zanzibar pekee mwenye maamlaka ya kumuarisha au kumuwajibisha.
Vipi ikitokea waziri huyo wa Zanzibar akagoma kutii hilo agizo la Magufuli, je Magufuli anaweza kumuwajibisha?

HITIMISHO
Magufuli hana mamlaka yoyote wala nguvu yoyote ya kisheria ya kumuamrisha au kumuwajibisha mtumishi yoyote wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, kwa sababu hajamwajiri, hawajibiki kwake, hamtumikii na wala hamlipi.
Mwendawazimu kweli wewe, kwan rais magufuli hakupigiwa kura na wazanzibar? Na umesahau kuwa ni mkuu wa Tanzania nzima? Ovyo kabisa nyie ndo mnapoteza watu
 
Si
Watu wengi hawafahamu kuwa huu si muungano .Huu ni uvamizi uliopewa jina la Muungano. Tanganyika chini ya Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte aliyechaguliwa na wananchi na kumfunga katika magereza ya Tanganyika pamoja na mawaziri wake bila kuwafikisha mahakamani kabla hata huo uitwao Muungano haujafikiriwa
Si haba wewe ni kaburu.
 
Yeah hana mamlaka yoyote ya kumtoa coz kule anachaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura na sio kwa kuteuliwa na magufuli akimfukuza kwenye chama ndio itakua kashapoteza kuwa na sifa ya kuwa rais hivyo ni lazma ajiuzulu tu uraisi
Huelewi unachokisema. Labda hujui maana ya power muulize hayati jumbe
 
President Magufuli ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndio amiri jeshi mkuu ndio taswira ya nchi ndio kiongozi mkuu wa nchi kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania sasa mtu mwengine anapata wapi uthubutu wa kuhoji kama kuzui usajili wa meli usiendelee kupitisha uchunguzi ni halali. Watu wengine wanakera waende shule kwanza halafu ndio waombe kuwa member wa JF.
Yaan kuna watu wako humu hata hawajui mamlaka ya rais ni ipi wakasome katiba maana ya mkuu wa nchi
 
Back
Top Bottom