Gentleman,Rais ajaye asipoeliminate baadhi ya mafisadi papa kutoka CCM mtandao, basi yatamuwahi na kumueliminate yeye.
Masilahi ya kudumu ya CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania na yoyote atakayewapinga kufikia lengo lao hili wana mbinu zote za kumfikia na kumbomoa.
Ni either ushirikiane nao kama Rais Samia anavyofanya au wakubomoe.
Naunga mkono hoja!, huu ndio ukweli wa mambo!, mwenye macho na aone, mwenye masikio, na asikie!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, hivyo taarifa kama hizi ni muhimu sana kuwasaidia vipofu hawa na viziwi hawa, kuona na kusikia!.Gentleman,
agenda ya Taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi, full stop.
Naomba uwe na heshima, usiite watu tegemewa kuwa ni mafisadi papa kutoka CCM mtandao, hao ni watu muhimu sana kwa chama chetu na nchi yetu!, laiti ungelijua wanakisaidia chama kwa kiasi gani na kuisaidia nchi kwa kiasi gani, usinge sema!.Rais ajaye asipoeliminate baadhi ya mafisadi papa kutoka CCM mtandao, basi yatamuwahi na kumueliminate yeye.
Sii kweli lengo la CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania, hawa ni wawezeshaji muhimu kwa chama, ambao ndio wazalendo wa kweli wa nchi hii, wakiwanunua wawekezaji wageni na uchumi wa nchi kumilikiwa na Watanzania wazalendo. Hili ni jambo jema.Masilahi ya kudumu ya CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania na yoyote atakayewapinga kufikia lengo lao hili wana mbinu zote za kumfikia na kumbomoa.
Hapa nafuata msemo wa Mhe. Nape, "kinyago uchonge mwenyewe, kikutishe"!.Ni either ushirikiane nao kama Rais Samia anavyofanya au wakubomoe.
Mnamharibia TU mzee wa watu...makonda alisema hawezi kupewa u pres..Naunga mkono hoja!, huu ndio ukweli wa mambo!, mwenye macho na aone, mwenye masikio, na asikie!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, hivyo taarifa kama hizi ni muhimu sana kuwasaidia vipofu hawa na viziwi hawa, kuona na kusikia!.
P
Kama ni yeye aliyepangiwa na YEYE, then ni yeye! Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!Mnamharibia TU mzee wa watu...makonda alisema hawezi kupewa u pres..
Mnamchongea auwawe bure, Makonda na Mafwele watamjenista kabla.ya wakati huoGentleman,
agenda ya Taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi, full stop.
Huyo Dr wenu ameshapitishwa na mchakaro au chombo gani? Inamaa huko ccm wanachama wanaendelea kuburuzwa tuu kwa kupangiwa watu kabla vikao halali vya chama? Kazi ipoNaunga mkono hoja!, huu ndio ukweli wa mambo!, mwenye macho na aone, mwenye masikio, na asikie!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, hivyo taarifa kama hizi ni muhimu sana kuwasaidia vipofu hawa na viziwi hawa, kuona na kusikia!.na
P
Kwani aliyepo alipitishwa na vikao gani?, Kitendo cha mtu wetu kuwa ni VP, huko ni kupitishwa tosha, utaratibu ule uliompitisha mtangulizi wake, pia utatumika kwake!Huyo Dr wenu ameshapitishwa na mchakaro au chombo gani? Inamaa huko ccm wanachama wanaendelea kuburuzwa tuu kwa kupangiwa watu kabla vikao halali vya chama? Kazi ipo
Hahaa ndio mana nikasema kumbe ule utaratibu wa kuletewa tu mgombea bila vikao halali unaendelea!!! Poor wanachama kindaki ndaki wa ccm wanaochomeka na jua mitaani wasiojua hata ni kwa jinsi gani wanavyoburuzwaKwani aliyepo alipitishwa na vikao gani?, Kitendo cha mtu wetu kuwa ni VP, huko ni kupitishwa tosha, utaratibu ule uliompitisha mtangulizi wake, pia utatumika kwake!
P
Naunga mkono hoja!, huu ndio ukweli wa mambo!, mwenye macho na aone, mwenye masikio, na asikie!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, hivyo taarifa kama hizi ni muhimu sana kuwasaidia vipofu hawa na viziwi hawa, kuona na kusikia!.
P
Anayepanga sio yeye, mpangaji ni YEYE, kama aliyepangiwa ni yeye, then ni yeye tuu, hata watu wafurukute vipi, aliyepangiwa ni amepangiwa!.Mtamuongezea Maadui tu. Hii vita iliyotengenezwa between these people. Lazima kuna mtu atakwenda under....!!