The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,588
Kwani aliyevuliwa cheo chake ni Prof. Assad tu? Wakristo wangapi wamevuliwa vyeo?Unaongea kujifurahisha alafu ukale kitimoto, jiulize enzi hizo kwanini ulibadilishwa mfumo wa mitihani kutoka jina kwenda kwenye namba? Jiulize ile tume iliyoundwa na jk kipindi kile kupima ufaulu wa wanafunzi katika dini ya kiisalm walikuja na majibu gani?
Na ndio silaha yenu eti waislam hawajasoma ndio maana hawateuliwi, hakuna uthibitisho juu ya hili angalia msomi kama prof assad alivyovuliwa cheo chake unadhani kisa nini? Kumbuka Ramadhani dau alikuwa anashambuliwa nini?
Profesa Musa Assad..Unaongea kujifurahisha alafu ukale kitimoto, jiulize enzi hizo kwanini ulibadilishwa mfumo wa mitihani kutoka jina kwenda kwenye namba? Jiulize ile tume iliyoundwa na jk kipindi kile kupima ufaulu wa wanafunzi katika dini ya kiisalm walikuja na majibu gani?
Na ndio silaha yenu eti waislam hawajasoma ndio maana hawateuliwi, hakuna uthibitisho juu ya hili angalia msomi kama prof assad alivyovuliwa cheo chake unadhani kisa nini? Kumbuka Ramadhani dau alikuwa anashambuliwa nini?
Huu ni Ukweli MtupuNaunga mkono hoja, hata JK alikuwa mdini kweli NSSF bila kuwa ustadhati ulikuwa upati kazi.
Hakika Taifa watu wana msongo wa mawazo..Mmmh!! Umefika mbali, maada Ni kuhusu ajira ambako walioajiriwa Wana chanzo Cha Mapato kisichotetereka kinachotokana na Kodi za walipa Kodi wote nchini. Mtu mwenye ajira ana uhakika wa kipato na uhakika wa kupata mikopo.
Mtu mwenye kipato kisichotegemea hali ya hewa ana uhakika wa kusomesha wanawe, kuwekeza, na kulipia michango mbalimbali. Mada hii inamtaka rais ajae aone Kama watu wenye sifa ya kuajiriwa waajiriwe waajiriwe kwenye nafasi kwa kuzingatia nchi inayo madhehebu mbalimbali Na wanaoitwa kwenye workshops na uteuzi wazingatie hilo pia. Maana ajira Ni ufunguo muhimu sana wa Mambo mengine muhimu kwenye familia ya mwajiriwa. Sasa unachosema hapo uko nje ya mada.
Wewe ni mpumbavu,Una stress za maisha.Sikuwa na maana ya dini moja tu ndiyo inayoonewa, lakini mtu yeyote atakayeibagua dini nyingine kwenye ajira, semina na uteuzi hafai bila kujali anaikandamiza dini gani. Tunachosema ss pale ofisini au kwenye semina kuwe na mchanganyiko wa kiwiano, kuitana kwa kuzingatia dini, kabila au Kanda fulani.
Maana unapoijaza mapesa jamii moja na kuichacha jamii nyingine kwa bahati mbaya au kwa makusudi inasababisha kuipatia ufunguo wa maendeleo jamii moja na kuinyanganya ile nyingine.
Mfano, Kuna wakati taifa bila kujuwa lilikuwa linatumia pesa nyingi sana kulisimesha kabila moja kitu kilichosababisha kuwa na waajiriwa wengi sana kutoka kabila hilo na kabila hilo likatumia pesa hizo za ajira kuwekeza kwenye elimu za watoto wao, kila sehemu utawakuta wapo
Kwasababu Mindset zao zimejaa Udini na fikra ya kwamba wanaonewa basi hata kwa haya uliyoandika watalialia tu na hawatatumia muda kuyafakari uliyoandika na kukuelewa.Siongei kujifurahisha, nawashauri tuu ndugu zangu. Japo ni mla Kitimoto lakini ushauri wangu Kama ukiweka hisia pembeni una maana, baniani mbaya kiatu chake dawa. Ni kweli ulibadilishwa mfumo toka kutumia majina mpaka namba,na Mwenyekiti wa NECTA akapewa mtu wa dini yenu Safi.
Lakini jiulize, huu mwaka wa ngapi hayo yamefanyika? Na jee kuna lolote limebadilika kwenye ufaulu hasa shule zinazomilikiwa na taasisi za dini yenu? Ninakupa assignment, nenda DUCE leo, chukua sampuli ya darasa moja la first year, hesabu watu wa dini yako ulinganishe na watu wa dini zingine. Watu wa dini yako hawawezi kufikia hata idadi ya dhehebu moja tuu la RC. Ndalichako mlimuonea bure. Mpaka Sasa shule zenu zinaongoza kwa kuburuza mkia..
Ukweli 100%Tatizo la Uislam na Waislam Ni Ultra-conservatism,yaani uhafidhina uliopitiliza kiasi kwamba hata elimu na mifumo ya Dunia ya kisasa wanaoona inaendana kinyume na maagizo ya mtume wao kwa hiyo haifai.
Hawa ndio wanaoongoza kwa kupeana ajira kwa misingi ya Dini halafu ndio wanatoa shutuma kwa wengine
Same old tales..!Wacha kufikiri kimakengeza! Kuna kitu kinaitwa MFUMO KRISTO.... ..bado nautafakari.
Mwalimu Nyerere alisema, hii issue ya udini ambayo ni sawa na ubaguzi ni mbaya sana na haipaswi kuichekea chekea hata kidogoMtafika mahali mtasema mkristo azae kwa zamu na mkristo, kwenye timu ya mpira wakristo na waislam wawe sawa kuleta uwiano na siyo ushindi, biashara zisajiliwe kufuata uwiano wa kidini nk. Kwanini serikalini tu?
Serikali ije kukuzuia kutawadha na kuondoa mkeka wako kibarazani na kukupeleka darasani?Huoni kwamba hiyo ni dosari mkuu? Observation yako ianzie kwenye Primary schools and Secondary Schools O level hasa za umma ambapo idadi ya wanafunzi inakaribiana. Kadri unavyokwenda kwenye elimu ya juu ndio kundi moja la kijamii linavyozidi kupukutika na kuachwa nyuma! Hivi serikali haioni haja ya kufanya utafiti juu ya jambo hili?
Ilboru, Pugu na zingine nyingi sana za Kikristo zilitaifishwa ili na ninyi msome ila bado tu mnaishia kunawa na kubinukaHata mzee Lowassa alishawahi kusema safari hii Ni zamu yetu (waluteri), hivi unajua alimaanisha nini? Ni zamu yao kufanya nn dhidi ya Nani? Kwani wakatoliki na waislamu walifanya nn kwa Nani?. Bro ongea tu kijujuu.
Kaka wewe Ni shahidi wakati shule za Magamba secondary Lushoto, Forodhani Dar es Salaam, mazengo Dodoma zilikuwa zimetaifishwa na Nyerere rip, ili watoto wote wasome zilivyorudishwa kwa wenye chini ya utawala baada muislam kwisha? Iliyolengwa ilikuwa Forodhani, wale wengine walikuwa mkumbo tu wa kujaribu kubakance Mambo.
Ongeza na Kantalamba boysIlboru, Pugu na zingine nyingi sana za Kikristo zilitaifishwa ili na ninyi msome ila bado tu mnaishia kunawa na kubinuka
Tatizo lenu ni mfumo na hamtaki kujitathmini na kukubali
Ur a Great thinkerUshauri kwenu nyie wa hiyo dini
1) kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wako sio lazima uwe umeajiriwa na kulipwa posho za semina kama ulivyosema hapo juu. Sasa ivi watu wengi wanajishughulisha na biashara pamoja na kilimo ambazo zinawaingizia pesa nyingi tu. So kuwekeza kwenye elimu ni wewe mwenyewe tu
2) Zanzibar mpo karibu 99% ya watu wote wanaoishi huko na hivyo dini hiyo ndio waliojaa kwenye hizo ofisi huko zanzbar, sasa kwa nn msiwe mfano huko zenj kwa kuwekeza kwenye elimu ikiwa nyie mpo wengi sana kwenye ajira huko?? Hebu tueleze hadi sasa mna vyuo vikuu vingapi na bora?...
Zipo nyingi MkuuOngeza na Kantalamba boys
Usijidanganye ndugu, hakuna amani bila dini,Kuongelea udini Karne hii ni kukosa hoja ya msingi kwa jamii ya kitanzania.
Sio kweli.Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi.
Chukulia mfano, Kati ya wanafunzi mia mbili wa Udaktari wanaodahiliwa kila Mwaka na Chuo Kama Muhimbili, Hawa ndugu zetu huwa hawazidi ishirini...
Kumbe unahisi?Usijidanganye ndugu, hakuna amani bila dini,
Mie nahisi Waislamu wanadhulumiwa sana hapa tz.
Nauhakika kuwa Waislamu wanadhulumiwa hapa tz,Kumbe unahisi?
Usiishi kwa hisia, ishi kwa uhalisia.
Hebu tuthibitishie kwa mifano.Nauhakika kuwa Waislamu wanadhulumiwa hapa tz,
Tunaomba Mungu amlete mkombozi.