Kanuni za uteuzi na ajira lazima zipitiwe upya ili ziruhusu watu wa dini zote watauliwe na kuajiriwa kwa uwiano hasa baada ya vigezo muhimu vya elimu na uzoefu wa kazi husika kuzingatiwa.
Inahuzunisha kukuta wafanyakazi wote wa ofisi ya umma au taasisi ya umma Ni wa dini fulani tu. Inasikitisha unakwenda kwenye semina au workshop au mkutano na kukuta washiriki wengi Kama sio wote ni wa dini fulani tu. Hivyo kusababisha vikao kufunguliwa na kufungwa kwa maombi ya dini fulani tu...
Hata mzee Lowassa alishawahi kusema safari hii Ni zamu yetu (waluteri), hivi unajua alimaanisha nini? Ni zamu yao kufanya nn dhidi ya Nani? Kwani wakatoliki na waislamu walifanya nn kwa Nani?. Bro ongea tu kijujuu.
Kaka wewe Ni shahidi wakati shule za Magamba secondary Lushoto, Forodhani Dar es Salaam, mazengo Dodoma zilikuwa zimetaifishwa na Nyerere rip, ili watoto wote wasome zilivyorudishwa kwa wenye chini ya utawala baada muislam kwisha? Iliyolengwa ilikuwa Forodhani, wale wengine walikuwa mkumbo tu wa kujaribu kubakance Mambo.
Sasa we ndio uniambie Walutheri wangefaidika Nini na Lowassa kuwa Rais? Pride? Maana wewe ndio unayetoa shutmaHata mzee Lowassa alishawahi kusema safari hii Ni zamu yetu (waluteri), hivi unajua alimaanisha nini? Ni zamu yao kufanya nn dhidi ya Nani? Kwani wakatoliki na waislamu walifanya nn kwa Nani?. Bro ongea tu kijujuu.
Kaka wewe Ni shahidi wakati shule za Magamba secondary Lushoto, Forodhani Dar es Salaam, mazengo Dodoma zilikuwa zimetaifishwa na Nyerere rip, ili watoto wote wasome zilivyorudishwa kwa wenye chini ya utawala baada muislam kwisha? Iliyolengwa ilikuwa Forodhani, wale wengine walikuwa mkumbo tu wa kujaribu kubakance Mambo.
Mimi Wala hata Sina hiyo ya kuangalia Dini za wanaoteuliwa, kiukweli ukiniuliza kipindi Cha kikwete na Magufuli Ni kipindi gani kulikuwa na Waislam wengi ama Wakristo wengi kwenye baraza mawaziri hata siwezi kukujibu.Hebu geuza kibao 90% ya teuzi kipindi cha raisi muislamu ziwe Waislamu halafu uje uulize maswali kama hayo hapa!
Kiufupi wewe ni mnufaika wa mfumo huu ndiyo maana huwezi kuwaelewa waislamu wakilizungymzia suala hili.
who feels it knows it all.
You just don't get it!
Acha uongo tunajua kuna list huko zinapitishwa kata huyu weka yule mbona vitu viko wazi labda km wewe ndio hujui.Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi.
Chukulia mfano, Kati ya wanafunzi mia mbili wa Udaktari wanaodahiliwa kila Mwaka na Chuo Kama Muhimbili, Hawa ndugu zetu huwa hawazidi ishirini...
Hivi unaweza kuniletea thread za JF za zinazomlaumu Kikwete kupendelea Waislam kwenye uteuzi? Maana za kumlaumu Magufuli zipo nyingi sanaKwenye maslahi, wapinzani wa Jiwe huungana naye kwenye ishu ya udini
Lakini haohao huanza kumlaumu kwa upendeleo wenye mrengo wa ukabila ila hufunga macho kwenye upendeleo wa udini kwa sababu wananufaika zaidi kwa upendeleo wake.
Trust me, laiti angekuwa rais ni muislamu akateua 90% waislamu kwenye post lukuki, hawa wanaomtetea leo wangekuwa wa kwanza kumuitia udini!
Kuna chuki kali sana ya kimfumo dhidi ya waislamu nchini
Mimi Wala hata Sina hiyo ya kuangalia Dini za wanaoteuliwa, kiukweli ukiniuliza kipindi Cha kikwete na Magufuli Ni kipindi gani kulikuwa na Waislam wengi ama Wakristo wengi kwenye baraza mawaziri hata siwezi kukujibu
Na ndio Mimi ni Mkristu na sijui Ni kitu gani nilichokikosa kwa Kikwete kilichosababishwa na yeye kuwa Muislam au kinachonifaidisha kwa Magufuli kinachotokana na Ukristo wake
Kabla ya kufanya huo utafiti tujiulize proportion ya Waislam kwenye raia wote nchini ni wangapi? Mi shule ya Msingi hakukua na Muislam hata mmoja, Sekondari ambayo ilikuwa Ni shule inayochukua wanafunzi nchi nzima, Waislam hawakufika hata robo, kwa Nini inashangaza kuwaona hata kwenye kazi wakiwa wachache?Huoni kwamba hiyo ni dosari mkuu? Observation yako ianzie kwenye Primary schools and Secondary Schools O level hasa za umma ambapo idadi ya wanafunzi inakaribiana. Kadri unavyokwenda kwenye elimu ya juu ndio kundi moja la kijamii linavyozidi kupukutika na kuachwa nyuma! Hivi serikali haioni haja ya kufanya utafiti juu ya jambo hili?
Hivi kwani proportion ya Waislam kwenye population ya nchi Ni wangapi? Pengine hili ndio swali ambalo litajibu maswali mengine yote kuhusu kuwapo ama kutokuwapo na upendeleo.Sasa open your eyes, huwezi kufanya selection kila wakati halafu demography moja ya hiyo population yako iko under all the time, hii maana yake ni kuwa kuna factor inayodetermine hizo selection ambapo udini ni most probable!
Let me ask you, Kama Jiwe angekuwa anateua 80% ya kila teuzi zake wawe wasukuma ungeona hakuna tatizo simply because nj wachapa kazi wazuri?
Hivi kwani proportion ya Waislam kwenye population ya nchi Ni wangapi? Pengine hili ndio swali ambalo litajibu maswali mengine yote kuhusu kuwapo ama kutokuwapo na upendeleo
Zanzibar teuzi zake Ni Waislam wote Ila watu watanishangaa nikiwa nauliza eti kwa Nini kwenye SMZ hakuna Wakristo.!
Sasa Mzee ili ujue mtu yupo under selected ama la lazima uangalie na proportion yake kwenye population kwanzakuhusu Zanzibar, mimi. na wewe siyo wazanzibar na wala serikali ya mapinduzi ya Zanzibar siyo chombo chetu kwa hiyo kuangalia wanafanyaje mambo yao kwenye nchi yao ni kwenda off target maana kamwe mimi na wewe hatuwezi kupata nafasi kwenye serikali hiyo maana sisi ni watanganyika.
Hata hivyo ni matumaini yangu kama kuna makundi ya kijamii huko Zenji yanahisi yanabaguliwa basi nayo yatalisema bila woga. Sisi tunakomaa na hii serikali yetu ya JMT
Kuhusu proportion ya Waislamu katika jamii, kuna good number yao proportionally lakini hiyo siyo hoja, hoja ni. kuwa wako underselected kwenye teuzi nyingi za Jiwe. Haiwezekani kila ukiteua basi teuzi zako always zinalalia upande mmoja, hiyo ni indicator ya udini hata mtu ajibaraguze vipi kukataa hilo
Kwa nini mijadala yenye chembe chembe za udini zinaibuka kila unapokaribia Uchaguzi? Na wanaolalamika sana ni ndugu zetu katika ImaanHivi kwani proportion ya Waislam kwenye population ya nchi Ni wangapi? Pengine hili ndio swali ambalo litajibu maswali mengine yote kuhusu kuwapo ama kutokuwapo na upendeleo
Zanzibar teuzi zake Ni Waislam wote Ila watu watanishangaa nikiwa nauliza eti kwa Nini kwenye SMZ hakuna Wakristo.!
Siku itakaporuhusiwa kuulizwa wewe dini gani kwenye kura ndio siku tatizo litaisha, na katika haya makundi mawili asietaka hili basi anajua jibu fika kama yeye ni minority. Inashangaza kwa nini dini zipo na zinatambulika ila kujua idadi kundi moja halitaki kabisa kusikia hii habari.Kabla ya kufanya huo utafiti tujiulize proportion ya Waislam kwenye raia wote nchini ni wangapi?
Mi shule ya Msingi hakukua na Muislam hata mmoja, Sekondari ambayo ilikuwa Ni shule inayochukua wanafunzi nchi nzima, Waislam hawakufika hata robo, kwa Nini inashangaza kuwaona hata kwenye kazi wakiwa wachache?
Huwezi kumpangia mwenye kampuni binafsi amuajiri Nani na nani asimuajili serikali ni yetu sote na tunalipa kodi wote iweje wa dini moja ndio wafaidi wao pekee?Isiishie huko tu Hadi kwenye shughuli binafsi unakuta ni wadini fulani tu ndio wameajiriwa, hili lipo sana. Hapa mamlaka za ajira na mifuko ya Jamii ziliangalie hili maana hata wao wanawajua kupitia list za majina wanayokata michango ya wafanyakazi hii itasaidia kuleta balance.
Wanakiuka kanuni za ajira maana wengine ni Hadi ubadili fun ili upate ajiraHuwezi kumpangia mwenye kampuni binafsi amuajiri Nani na nani asimuajili serikali ni yetu sote na tunalipa kodi wote iweje wa dini moja ndio wafaidi wao pekee?