Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,038
- 63,186
Huu ndio wimbo wenu miaka yote,ndio maana hutasikia mkristo analalamika pindi marais waislamu wanapoongoza, kwasababu hatuamini kama wanaoteuliwa wanateuliwa kwa udini bali kwa uwezo wao zamu ikifika yeyote anaweza pata nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kilichobaki utafanyaje,toka kwenye keyboard kaandamane kama tuone utapata wafuasi wangapi,kama huwezi jinyonge ufe.Wewe upo nchi hii?
Wakati wa Kikwete hata vinafasi vichache alivyowapa waislamu navyo mlikuwa mkiona nongwa hata kama mlikiwa bado wengi kuzidi waislamu serikalini!
Kiufupi kuna mfumo Kristo umesimikwa nchi hii Tangu Nyerere na kuudismantle ni ngumu sana, akiingia rais muislamu akajaribu kufanya hilo Kanisa linaweza kumletea tabu sana hata. kuangusha serikali yake, maana kuanzia kwenye mzizi wa serikali nyinyi huko kwa watendaji, maofisa utumishi, makamishna, makatibu wakuu, wakurugenzi, etc nyote mko nyinyi, na ikitokea akataka kubadirisha na kuweka uwiano wa kijamii mtapiga kelele za udini!, udini!, udini! mpaka basi
Kamuulize Makonda kajisemea Ukweli kuwa nchi hii iko chini ya Kanisa, Yuko sahihi!
Kwa hiyo kilichobaki utafanyaje,toka kwenye keyboard kaandamane kama tuone utapata wafuasi wangapi,kama huwezi jinyonge ufe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona historia ndio iliyofanya yote haya, badala ya kusubiri kudura za mwenyezimungu hebu kwanza watu waaze kufanya mambo yafuatayoWanyonge sisi , hatuna nguvu sisi, tukiandamana mtatupiga risasi mtatuua, ila tutamlilia Mungu akipenda atatunusuru kwa njia zake.
Leo Wamarekani weusi baada ya miaka 450 kubaguliwa katika nyanja mbalimbali za maisha ikiwemo uchumi, kijamii n.k Mugu anawasikia. Leo masanamu ya waliowanyanyasa yanaangushwa, sheria za kiukandamizaji dhidi yao zinarekebishwa.
Kama walivyookolewa wana wa Israel kutoka katika jeshi la Faraoh na Mungu ataingilia kati na kuwafanya waislamu wa Tanzania nao wawe treated fairly katika ajira na katika utumishi ndani ya serikali yao!
Kwa hiyo ndugu yangu udhalimu una mwisho na tutaendelea kupaza sauti mpaka Haki itakapojitenga na batili.
Huna hoja,unawajua wanyonge wewe,endelea kuandika ujaze uzi.Wanyonge sisi , hatuna nguvu sisi, tukiandamana mtatupiga risasi mtatuua, ila tutamlilia Mungu akipenda atatunusuru kwa njia zake.
Leo Wamarekani weusi baada ya miaka 450 kubaguliwa katika nyanja mbalimbali za maisha ikiwemo uchumi, kijamii n.k Mugu anawasikia. Leo masanamu ya waliowanyanyasa yanaangushwa, sheria za kiukandamizaji dhidi yao zinarekebishwa.
Kama walivyookolewa wana wa Israel kutoka katika jeshi la Faraoh na Mungu ataingilia kati na kuwafanya waislamu wa Tanzania nao wawe treated fairly katika ajira na katika utumishi ndani ya serikali yao!
Kwa hiyo ndugu yangu udhalimu una mwisho na tutaendelea kupaza sauti mpaka Haki itakapojitenga na batili.
Mgalatia lzm utukane na kutoa kashfa.Wazee wa kulialia na kulalamika.
Tumeshawazoea ninyi, endeleeni kutawadha tu badala ya kuinvest vizuri katika Elimu
Acha kuongea pumba km unaumwa mshipa.Kwani aliyevuliwa cheo chake ni Prof. Assad tu? Wakristo wangapi wamevuliwa vyeo?
Ninyi tunawafahamu kwa kulialia na kulalamika kila Mara
Okay, kule Zanzibar above 90% ni Waislam haswaa katika dola na uongozi serikalini
JE mmejenga vyuo vikuu vingapi? Uongozi wa vyuo ukoje? Ubora wa elimu upoje? Shule za huko Zanzibar zipoje?
Hahaha, mshukuruni Rais mstaafu B.W. Mkapa kukupeni lile jengo la TANESCO pale Morogoro mkakifanya chuo
Ninyi Mnapuuza Ilmu Dunia hata usibishe, halafu mnafikiri kulialia ndio suluhisho
Badilikeni mpige adhana za kusisitiza Elimu dunia.
Wewe ndio una akili?Wewe ni mpumbavu,Una stress za maisha.
Hiyo dini yako unafahamu chanzo chake au ?
.someni historia,Mbona wahindi na baniani watanzania hawalaumu nafasi za kazi
Acha kuandika Pumba.Ilboru, Pugu na zingine nyingi sana za Kikristo zilitaifishwa ili na ninyi msome ila bado tu mnaishia kunawa na kubinuka
Tatizo lenu ni mfumo na hamtaki kujitathmini na kukubali
Nitajie mawaziri wa elimu toka tumepata uhuru mpk leo kisha angalia km waislamu walifika hata 30%!Hebu tuthibitishie kwa mifano.
We bata mzinga.Dini ya kiarabu inaandaa watu kuwa wavivu, wapiga majungu na fitina. Hawafai katika uchumi wa kati
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
KidogoSababu bungeni kulijaa watu wasiosomeka. Ndio maana mawaziri wengi wa maeneo nyeti sio wa kutoka majimboni.
Dini ni biashara kubwa sana duniani ya matwilion ya hela yasio na kodi. Mfano, Vatican inaonekana ni nchi ndogo kieneo kule Italy lakini ndiyo nchi kubwa kieneo duniani. Wao wanahesabu kuwa kila eneo duniani ambalo lina kanisa, shule, hospitali au chochote kile cha Catholic ni sehemu ya Vatican na kila kitu kinachozalishwa hapo ni mali ya Vatican na lazima wahakikishe kuwa maslahi ya Vatican yanapatikana na kulindwa kwa gharama yoyote ikiwemo viongozi wa nchi hizo wanatambuliwa Vatican. Hivyo, watahakikisha kuwa wafuasi wengi zaidi wanapata elimu bora, wanaajiliwa ili kupata hela za kumudu kutoa sadaka na shukrsni ambazo zitakusanywa na kufikishwa Vatican. Vatican ni taifa ambao lina hela nyingi mno kutoka na tight governance yake hiyo inayowezesha kukusanya hela hata iliyokusanywa Nanjilinji na Mfaranyaki.Acha kuandika Pumba.
Hizo Shule unazodai zilitaifushwa kipato chote cha shule kilikuwa kinakwenda Kanisani.
Mimi ni mmoja wa wanafunzi niliesoma shule ya catoliki iliodai kutaifishwa.
Miradi yote ya shule pesa walikuwa wanakusanya mapadri na maaskofu.
Dini ni biashara kubwa sana duniani ya matwilion ya hela yasio na kodi. Mfano, Vatican inaonekana ni nchi ndogo kieneo kule Italy lakini ndiyo nchi kubwa kieneo duniani. Wao wanahesabu kuwa kila eneo duniani ambalo lina kanisa, shule, hospitali au chochote kile cha Catholic ni sehemu ya Vatican na kila kitu kinachozalishwa hapo ni mali ya Vatican na lazima wahakikishe kuwa maslahi ya Vatican yanapatikana na kulindwa kwa gharama yoyote ikiwemo viongozi wa nchi hizo wanatambuliwa Vatican. Hivyo, watahakikisha kuwa wafuasi wengi zaidi wanapata elimu bora na wanaajiliwa ili kupata hela za kumudu kutoa sadaka na shukrsni (sehemu ya 10) ambazo zitakusanywa na kufikishwa Vatican. Vatican ni taifa ambao lina hela nyingi mno kutokana na tight governance yake hiyo inayowezesha kukusanya hela hata iliyokusanywa Nanjilinji na Mfaranyaki.Acha kuandika Pumba.
Hizo Shule unazodai zilitaifushwa kipato chote cha shule kilikuwa kinakwenda Kanisani.
Mimi ni mmoja wa wanafunzi niliesoma shule ya catoliki iliodai kutaifishwa.
Miradi yote ya shule pesa walikuwa wanakusanya mapadri na maaskofu.
Unamix madesa mzeeDini ni biashara kubwa sana duniani ya matwilion ya hela yasio na kodi. Mfano, Vatican inaonekana ni nchi ndogo kieneo kule Italy lakini ndiyo nchi kubwa kieneo duniani. Wao wanahesabu kuwa kila eneo duniani ambalo lina kanisa, shule, hospitali au chochote kile cha Catholic ni sehemu ya Vatican na kila kitu kinachozalishwa hapo ni mali ya Vatican na lazima wahakikishe kuwa maslahi ya Vatican yanapatikana na kulindwa kwa gharama yoyote ikiwemo viongozi wa nchi hizo wanatambuliwa Vatican. Hivyo, watahakikisha kuwa wafuasi wengi zaidi wanapata elimu bora na wanaajiliwa ili kupata hela za kumudu kutoa sadaka na shukrsni (sehemu ya 10) ambazo zitakusanywa na kufikishwa Vatican. Vatican ni taifa ambao lina hela nyingi mno kutokana na tight governance yake hiyo inayowezesha kukusanya hela hata iliyokusanywa Nanjilinji na Mfaranyaki.
Saudi Arabia na Israel wanapata hela nyingi sana kutokana na dini. Watu wanapokwenda kuhiji wanakusanya hela nyingi sana zinazoingizwa kwenye bajeti zao. Hivyo watahakikisha kuwa dini inaenea na kuwawezesha waumini wengi kuwa na kipato cha kuweza kutoa sadaka lakini pia na kumudu kwenda kuhiji na wao kukusanya hela nyingi sana.
Hivyo Rais wetu ajae lazima atambue kuwa dini hizi ni matawi na vyombo vya wakoloni na unyonyaji. Lazima watoze kodi kwerikweri hata kwenye shughuli za kidini na ardhi zinazokaliwa na watu wa dini. Lazima watatumbue kuwa dini hizi zilikuja pamoja na watu ambao sio wema, wezi na wahujumu uchumi wa nchi zetu. Watu hawa wa dini walikuwa wanaishi kwenye mtaa mmoja, kula, kunywa na kusali pamoja na wakoloni bila kukemea maovu yaliyokuwa yakifanywa na wakoloni. Ni rafiki zao hawa, tusijisahau kuwa wakati waarabu wanakamata watumwa kwa nguvu, humo njiani kwenye msafara walikuwa wanapata muda wa kuswali kabla ya kuendelea na safari kuelekea Bagamoyo sokoni. Sio wema hawa. Tujitambue.
Dini hizi zinapigana kufa na kupona kuhakikisha viongozi wetu wanatambulika vema kwao, tulishuhudia Rais Kikwete (muislamu) akilazimika kwenda kusimika maaskofu, hii haikuwa bahati mbaya.

Story ndeeefu km mkojo wa mlevi lkn haina ukweli wwt ndani yake.Dini ni biashara kubwa sana duniani ya matwilion ya hela yasio na kodi. Mfano, Vatican inaonekana ni nchi ndogo kieneo kule Italy lakini ndiyo nchi kubwa kieneo duniani. Wao wanahesabu kuwa kila eneo duniani ambalo lina kanisa, shule, hospitali au chochote kile cha Catholic ni sehemu ya Vatican na kila kitu kinachozalishwa hapo ni mali ya Vatican na lazima wahakikishe kuwa maslahi ya Vatican yanapatikana na kulindwa kwa gharama yoyote ikiwemo viongozi wa nchi hizo wanatambuliwa Vatican. Hivyo, watahakikisha kuwa wafuasi wengi zaidi wanapata elimu bora na wanaajiliwa ili kupata hela za kumudu kutoa sadaka na shukrsni (sehemu ya 10) ambazo zitakusanywa na kufikishwa Vatican. Vatican ni taifa ambao lina hela nyingi mno kutokana na tight governance yake hiyo inayowezesha kukusanya hela hata iliyokusanywa Nanjilinji na Mfaranyaki.