tbc wamerudi tena... sauti inakata kata picha zinaganda...daaah hii ndiyo tv ya taifa
Naiona mahakama ya kadhi hiyoooooooooo, na Tainzania kujiunga na OIC. JK kamaliza kazi aliyotumwa.
Naiona mahakama ya kadhi hiyoooooooooo, na Tainzania kujiunga na OIC. JK kamaliza kazi aliyotumwa.
na nan?
Kuapa ki2 gani bhana?wameapa wangapi?
Naipinga Tume hii kwa mambo makubwa 2
Kwanza,Mwenyekiti wa Tume Mzee Warioba kaisha chukua upande kuhusu muungano tuutakao aliposema mwezi uliopita kuwa mtanzania anayetaka serikali 2 ni wakuogopwa maana anataka kuvunja muungano!Wasiwasi wangu ni kuwa HATAYACHUKULIA kwa uzito maoni yangu kwani mm ni mmoja wa watz tunaotaka muundo wa serikali uangaliwe upya hasa kwenye mamlaka ya Rais wa ZNZ,Baraza lao la Wawakilishi na idadi ya Wabunge.ZNZ yenye watu si zaidi ya milion 2 kwa nn iwe na wabunge karibia 50 wa kuchaguliwa huku Mbeya yenye idadi ya watu zaidi ya ZNZ iwe na Wabunge wasiozidi 10?
Pili,iweje ZNZ yenye watu wasio zidi milion 2 tu itoe idadi sawa ya wajumbe wa Tume ya Katiba na TZ-Bara yenye watu zaidi ya milion 40?
tbc wamerudi tena... sauti inakata kata picha zinaganda...daaah hii ndiyo tv ya taifa
Hata mimi nimeliona hilo!Naiona mahakama ya kadhi hiyoooooooooo, na Tanzania kujiunga na OIC. JK kamaliza kazi aliyotumwa.
Tuko pamoja.....Salaam,
Sikiliza Hotuba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia mara baada ya kuwaapisha wajumbe wa kamati ya Katiba, nenda www.arushamambo.com kisha click kwenye ''Sikiliza Arusha Mambo FM...'' tutafurahi kupata maoni yako baada ya ku click LIKE kwenye page ya tunein na kwenye
Baadaye vipindi vya Bunge vitafuata.
Arusha Mambo.