Rais aapisha tume ya Katiba!

na watu walikurupuka siku ya kwanza na kupongeza uteuzi wa tume....nilipinga kwa vigezo nikatukanwa,leo hii kuna watu waliochangia ile thread ya kwanza kabisa Rais alipotangaza majina leo wamepiga U-Turn

Hii ni dalili ya kuwa taiafa la mkumbo na fuata upepo
Ben mbona siku hizi uko very quick kuponda watu?lol!
Ama ni matokeo ya wewe kupigwa punches pia?lol

Kuhusu watanzania kufata mkumbo ni kweli, lakini kuna kubadili mawazo kwenye issue baada ya kupata mwangaza zaidi nk, hilo kama unataka kuliita "kufwata mkumbo" basi ni up to you and your "understanding"

Kwa mfano mimi siku ya kwanza nilipoona wajumbe baadhi ya majina yalipokuwa yakianza kutolewa hapa JF, nilikubaliana na asilimia kubwa tu ya wajumbe wale, na nilikubaliana pia na wale waliokuwa wakisema kuwa Prof. Shivji angetakiwa awemo ndani ya tume.

Nakumbuka kabisa ulijibu posti yangu kwa namna hii ulioiposti hiyo hapo juu, tofauti ni kwamba hukusema "kukurupuka", bali ulisema watu wana "mihemko", umekuwa mtu wa kudescribe watu sana na somewhat divisive hata kwenye chama chako?

Hiyo U-Turn unayoizungumzia ni ipi hiyo?
 
kuapishwa ndo kunafungua milango ya yale tunayotarajia kuyaweka katika katiba tunayoitaka sisi waTz, cha msingi tuwape ushirikiano ili tufike pale tunapotaka na kwa hakika inawezekana [waTz sote tuwe kitu kimoja]
Ulichosema ni kweli, tusubiri tuone, kila la kheri.
 
Hawa watu hawaeleweki walitangaza tena kwenye vyombo vya habari kuwa amehairisha kuwapisha leo ijumaa mpaka Jumatatu sasa imekuwaje tena

Si unajuwa leo ndiyo siku yetu? Siku njema huonekana tangu asubuhi. MAHAKAMA YA KADHI OYEEEEEEEEEE, OIC OYEEEEEEEEEE.
 
Back
Top Bottom