Raila Odinga yuko nchini kumtembelea rais John Pombe Magufuli

mtu anayetaka kenya ijitenge sehemu mbili analakiwa na Rais wa nchi jirani,ingekuwa kina mbowe wamefanya ujinga kama wa Raila ,ikatokea Uhuru kawalaki hivi huyu wa kwetu angejisikiaje?
Mbona chadema wanasapoti mateso ya wapinzani Kenya..au hilo halina shida
 
m
mungu ibariki Tanzania mungu ibariki afrika
 
Ni marafiki wa siku nyingi, tangia bia ikiwa inauzwa 250/=
 
kosa lake ni kususa uchaguzi, nchi za kiafrika ukisusa wenzako wanakomba mboga zote unalala na njaa!! pigania humo humo kwenye bakuli, unafikiri CDM ni wajinga kukukuruka na uchaguzi kila unapotokea huku wakijua fika sheria si rafiki kwao, Tume ndiyo hiyo, virungu kila kukicha, kulala lupango, kina neno ni uchochezi lakini utafanyaje - ukipata nyama moja kwenye bakuli la nyama 12 si haba.
 
Akae atulie..!
 
Afadhali amekimbilia kwa mheshimiwa.
Nami nashauri, amshauri aachane na siasa
achape kazi tu,maana hakuna namna.HAPA KAZI TU
 
Naona ameenda kumpokea mgeni airport. Sijui protocal zinasemaje? Anyway kuna jambo linaendelea!

Ahhhh ila wtz ni kama watoto Wachanga. Mara siasa Si uadui. By the way Kenyatta na Odinga wakikutana wako poa tu. Sasa washikaji wasikutane.
 
Amemfuata Maalim Seif ampe maujanja ya kuwa rais wa maandamano.
 
Huu haukuwa wakati muafaka raila kukaribishwa Dar. Itaharibu uhusinano wetu na Kenya
 
Kuwa na akili NYUMBU wewe.Hiyo sio picha ya leo na HAKUNA maelezo yanayosema magufuli kumpokea Odinga Airport. Yani hata kuumiza akili kujua magufuli alikua anaendesha kikao hutaki.
Wewe zombie! Elewa basi hata ujumbe uliopo kwenye meseji yangu. It doesn’t matter when, kwa alichokifanya Magufuli hakistahili hata kidogo.
 
Wewe zombie! Elewa basi hata ujumbe uliopo kwenye meseji yangu. It doesn’t matter when, kwa alichokifanya Magufuli hakistahili hata kidogo.
Magufuli kampokea odinga wapi ww NYUMBU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…