Apo efuefuyu wangemzuilia mbaliEti brother ingewezekanika?
Nimevutiwa na siasa za Kenya japo kwa hili...mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano ya CECAFA yanayoanza leo nchini Kenya ni bwana Odinga mpinzani wa Kenyatta katika uchaguzi uliopita!je kibongo bongo hii inawezekana?!