Raila: How I was chauffeured in Nyerere’s car

Raila: How I was chauffeured in Nyerere’s car

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,442
Dar es Salaam. The first travel document former Kenyan Prime Minister Raila Odinga ever owned, which he used to go abroad was issued here in Dar es Salaam in 1962, when the Mainland was still known as Tanganyika.

Former Kenya prime minister - who also served as minister in three different portfolios: Energy, Roads and Housing - used the document to enter East Germany where he completed his secondary school education at Herder-Institute and later graduated with a degree in mechanical engineering from the Magdeburg College of Advanced Technology before coming back to Kenya.

The temporary citizenship and passport was granted to Raila and other two Kenyan boys in his company, two years before the union with Zanzibar in 1964 which gave birth to the United Republic of Tanzania. The enigmatic politician has revealed how, after being denied a passport by the department of immigration of the British colonial government which ruled his country, the first Prime Minister of Tanganyika (later president) Mwalimu Julius Nyerere, who was a friend of Mr Odinga’s father, salvaged the situation.

Kenya was to gain its independence a year later in 1963 after a bloody Mau Mau uprising and Raila’s father, Jaramogi Oginga Odinga, served as vice president with Mzee Jomo Kenyatta as the country’s first president and father of the nation. Mr Odinga, who is the leader of the Coalition for Reform and Democracy (Cord), an opposition outfit, has made the disclosure and poignant details of his childhood and political struggles in his new autobiography Raila Odinga—The Flame of Freedom which was launched yesterday in Nairobi.

Raila who was 17 years old and in Form Two had to go abroad because his father’s apparent opposition to colonial rule and his links with the Soviet Union had created bad blood between the Odingas and the government.

His elder brother Oburu who by then had already gone to school in the Soviet Union was not only refused a deserved admission to the best schools in Kenya, he was also denied a passport when he wanted to leave the country.

“Oburu’s application had been rejected six months earlier, on grounds that Jaramogi’s passport had been impounded by the government because he had visited the Soviet Union and China. Jaramogi was currently travelling on international passports given to him by Kwame Nkrumah and another given to him by Gamal Abdiel Nasser, and he had travelled with Oburu as a minor on one of them,” Raila writes.

“Oburu had passed with flying colours, gaining the highest possible points and distinctions, but he had not been accepted at Alliance High School, the best secondary school at the time. Oburu’s second choice had been Kisii High School but they also refused him a place. Only Maranda accepted him.”

He adds: “From that point, Jaramogi knew that, if he wanted a good education for us boys, he would have to send us abroad.” In the memoir, Raila writes how he was one day abruptly picked by his father’s assistant Okuto Bala at Maranda High School in Nyanza where he was a boarder and taken to Nairobi where he joined Oudia Okello and Mirulo Okello for the trip to Dar es Salaam.

“By six we had left for the bus station, where we boarded an OTC (Overseas Transport Company) operating in collaboration with DMT (Dar es Salaam Motor Transport) bus at 7am. It set off at 7:30 sharp and we were on our way,” At the time, Raila narrates that the tarmac from Nairobi City centre ended just at the airport junction and all the way to Namanga border was a dirty road. “We passed through Korogwe, Handeni and then Morogoro, where the tarmac began again.”

The bus arrived in Dar es Salaam at 7:30 am, 24 hours later and the boys were received by Dola Osman, personal assistant to Oscar Kambona, then secretary-general of the ruling party, Tanganyika African National Union (Tanu).

“Osman made us welcome and took us by car to a hotel where he left us to make ourselves at home. We were dirty and hungry after our long journey, so we showered and changed and had breakfast before Osman came back for the three passport-size photos we had been told to bring,”
 
Dar es Salaam. The first travel document former Kenyan Prime Minister Raila Odinga ever owned, which he used to go abroad was issued here in Dar es Salaam in 1962, when the Mainland was still known as Tanganyika.

The temporary citizenship and passport was granted to Raila and other two Kenyan boys in his company, two years before the union with Zanzibar in 1964 which gave birth to the United Republic of Tanzania. The enigmatic politician has revealed how, after being denied a passport by the department of immigration of the British colonial government which ruled his country, the first Prime Minister of Tanganyika (later president) Mwalimu Julius Nyerere, who was a friend of Mr Odinga’s father, salvaged the situation.

Kweli huyu mkenya hana shukrani.Kwa hiyo baada ya kusaidiwa na mwasisi wa CCM mwalimu NYerere shukrani yake akaona aungane na mtandao wa CHADEMA ambao ndio alifanya nao kazi wakati wa uchaguzi ukliopita aliogombea kama raisi wa kenya ili uchaguzi ujao Tanzania washirikiane kampeni na CHADEMA ya kuing`oa CCM tanzania.
Bila shaka kushindwa kwake barabara uchaguzi kenya kulichangiwa na laana aliyopata kwa kuigeuka CCM.Na laana hiyo itamfikisha mwisho wa harakati zake za siasa za juu kenya.

Watanzania ni wazuri hata kwa mhamiaji haramu akikaa na kutulia tuli asilete za kuleta aweza kaa hata karne mia akapata passport,akasomeshwa akapewa hata vyeo serikalini. Lakini SIKU akileta za kuleta watanzania utawajua uwe ndani au nje ya nchi kama ni wale mabwege uliowadhania au la watakuonyesha cha mtema kuni.

Kura kidogo alizopata za urais alizopata Raila nii ushahidi kuwa ukifadhiliwa na watanzania badaye ukaleta za kuleta wana uwezo wa kuporomosha umaarufu wako hadi sifuri hata kama ulikuwa unang`aa kama jua.UGEU GEU WAKE UMEMGHARIMU KURA ZA URAISI.hoya hoya unalo odinga endelea kuunga mkono CHADEMA uchaguzi mwingine ukija utalijua jiji la kisumu.
 
Mwenye Shukrani ni nani sasa?, ni hao waliosaidiwa na CCM (Kikwete) kuingia MAdarakani Uhuru na Ruto na hao hao kumtukana na kumdharirisha na kisha kumgeuka JK?
 
Mwenye Shukrani ni nani sasa?, ni hao waliosaidiwa na CCM (Kikwete) kuingia MAdarakani Uhuru na Ruto na hao hao kumtukana na kumdharirisha na kisha kumgeuka JK?

Wakenya ni wakenya tu wawe wajaluo,wakikuyu au wakalenjin anyway safari za kisiasa zao wote bado ni ndefu na wote bado ni watoto wachanga kisiasa ndio wameanza siasa tutajuana nao mbele kwa mbele.
 
Kweli huyu mkenya hana shukrani.Kwa hiyo baada ya kusaidiwa na mwasisi wa CCM mwalimu NYerere shukrani yake akaona aungane na mtandao wa CHADEMA ambao ndio alifanya nao kazi wakati wa uchaguzi ukliopita aliogombea kama raisi wa kenya ili uchaguzi ujao Tanzania washirikiane kampeni na CHADEMA ya kuing`oa CCM tanzania.
Bila shaka kushindwa kwake barabara uchaguzi kenya kulichangiwa na laana aliyopata kwa kuigeuka CCM.Na laana hiyo itamfikisha mwisho wa harakati zake za siasa za juu kenya.

Watanzania ni wazuri hata kwa mhamiaji haramu akikaa na kutulia tuli asilete za kuleta aweza kaa hata karne mia akapata passport,akasomeshwa akapewa hata vyeo serikalini. Lakini SIKU akileta za kuleta watanzania utawajua uwe ndani au nje ya nchi kama ni wale mabwege uliowadhania au la watakuonyesha cha mtema kuni.

Kura kidogo alizopata za urais alizopata Raila nii ushahidi kuwa ukifadhiliwa na watanzania badaye ukaleta za kuleta wana uwezo wa kuporomosha umaarufu wako hadi sifuri hata kama ulikuwa unang`aa kama jua.UGEU GEU WAKE UMEMGHARIMU KURA ZA URAISI.hoya hoya unalo odinga endelea kuunga mkono CHADEMA uchaguzi mwingine ukija utalijua jiji la kisumu.

Watu wengine wana akili fupi kweli,...hapa kushindwa kwa Raila kunahusikaje na CCM au Chadema, na kwa mawazo yako, CCM kama chama kina uwezo upi wa kutoa laana yaani kinatoa laana kwa mazuri gani kilicho nayo au mazuri yapi kinayosimamia,.. Mtoa mada ameweka wazi msaada ulikuwa kutoka kwa Mwalimu ambaye ni Baba wa Taifa, na ilikuwa nia yake binafsi na haikuhusishwa na chama.
 
Nilikisoma kitabu chake Mwaka 2007 'Raila Odinga:An Enigma in Kenyan Politics' Kilichoandikwa na Prof Mmoja wa Nigeria.I got inspiration.

Nakitafuta hiki alichozindua juzi
 
Wazee wetu walikuwa wazalendo wa bara la Afrika. Tumekuja vijana, tunaanza kufukuzana na kukimbilia kutengana.

Hivi tumerogwa wapi?

Wacha ninunue kitabu cha Odinga na kufaidi kujua jinsi wazee wetu, wanasiasa wa miaka ya 60 walivyokuwa wanaendesha maisha yao.
 
Wazee wetu walikuwa wazalendo wa bara la Afrika. Tumekuja vijana, tunaanza kufukuzana na kukimbilia kutengana.

Hivi tumerogwa wapi?

Vijana wenyewe hata wa wahamiaji haramu wamebadilika.Zamani wazee wahamiaji haramu walikuwa wakifika wanatulia tuli.watu wanajua kabisa pale kwa mzee mnyasa,au mzee mkikuyu n.k na waliwajua kama watu wazuri.Vijana wao ndio tishio.Kuna mzee mmoja mmakonde wa msumbiji alikuwa analalamika kuhusu vijana wa kimakonde.Anasema sekta ya ulinzi majumbani mwa watu na biashara binafsi watu waliokuwa wakiimiliki biashara hiyo dar-salaam nzima ni wazee wa kimakonde.Anasema walikuwa waaminifu mno na kila mtu atafutaye mlinzi alikuwa akitafuta mmakonde.Anasema wazee wengi baada ya kuwa wazee wakaamua wawaombe vijana wao waliowazaa Dar es salaam wawasaidie kulinda malindo.Kilichotokea wakaanza tamaa na kuanza kuiba kwenye hayo malindo.Mabohari na maduka yakaanza kuvunjwa na wao kutoroka na wazee waliowadhamini kuanza kupata misuko suko.

Akasema sasa hivi soko la ulinzi kutumia wamakonde limekufa watu wanatafuta wamasai nk.

Vizazi vilivyozaliwa baadaye ni chanzo cha matatizo.Hawajui wakiwa wahamiaji haramu waishije nchi za watu na hawasikii la mtu au na wazazi wao hawawambii.Tatizo si zama ni mabadiliko yaletwayo na ukorofi wa vijana hasa wa kuja.
 
Ni wakati wa Wakenya kusaidia WaTZ pia.
 
Back
Top Bottom