Raia wamecharuka, Iweje Ronaldo ale pesa nyingi

wafanyakazi wa azam wanalipwa laki unusu.. ila wachezaji azam mamilioni ia hawagomi.. wapi wafanyakazi wa mohamed enterprises mshahara laki moja.. huku simba wanalipa watu milioni 10 kwa mwezi.. wapi manji na yanga na quality group staff
Uoga wao ndio umaskini wao wagome.
 
wafanyakazi wa azam wanalipwa laki unusu.. ila wachezaji azam mamilioni ia hawagomi.. wapi wafanyakazi wa mohamed enterprises mshahara laki moja.. huku simba wanalipa watu milioni 10 kwa mwezi.. wapi manji na yanga na quality group staff
Hii mifano haiendani na case ya huko juve
 
Hata wachezaji watariot tu, hata kama ni kimyakimya. Ronaldo anakwenda kuvuta takribani £73,000 per day...
 
Kwanini,
Messi hauzwi kama huyo mwenzake ?
Tumechoka kila siku Ronaldo mala kahamia hapa mala pale mala kule.
Haka kamjamaa katakuja kuifilisi Clabu ya Mpira.
 
Kwani walivyobagain kuna kifungu kiliwekwa kwamba Juve isimlipe mchezaji hiO hela? Kama hawajaridhika si waache kazi! Wametafakari na bei ya jezi ya CR7?
 
Kwani wao wakati wanapewa mikataba yao ya kazi Cr7 alikuwepo nguvu yao ya bargain tu hawataki waache kazi kama hawatki ma kiwanda kiwepo kwao fiat wapeleke China
 
Labda Wamiliki Wameona Wakimnunua Watapata Faida....biashara Matangazo...akili Kumkichwa...
Unajua Ronaldo aliponunuliwa Madrid mashabiki Walipiga Sana Sana Kelele...ila Mwaka Mmoja Baadae Club ilitangaza kuwa Imerudisha hela Mara dufu na Faida Mara dufu....kupitia Matangazo,Hisa,jezi!
 
points
 
Back
Top Bottom