Raia wafunga barabara ikwiriri

kweli tutaingia kwenye machafuko hadi wandengeleko wanapigana? Hawa jamaa walikuwa wastaarab sana ccm kwisha kabisa anguko lako linaonekana. Kuna baadhi ya mambumbu watauliza ccm inahusika nn? Nawajibu kabisa kwanini tumbo likitibua unachomwa sindano takoni?
 
Mpaka sasa raia wapatao 53 wamepelekwa mahakamani hii leo asbh kwa makosa mbalimbali ikiwa ni pamoja na Uporaji, uhalibifu wa mali ya umma na kuchoma na kuharibu makazi na ofisi pamoja na sehemu za biashara.
Kati yao wanaume wapo 50 na wanawake 3.Polisi inaendelea na msako lkn mapigano na ufungwaji wa barabara bado unafanyika kiasi kwamba magari hayapiti kuja DSM wala kwenda njia ya Mtwara.
Raia wengine wamejifungia ndani tangu jana wanaogopa kudhuriwa na mapigano hayo"
~Mungu Ibariki Tanzania~
 
Hili suala la serikali kuwaacha wafugaji waendelee na huu mfumo wao wa kuhama hama tutaendelea kushuhudia vifo na mapigano kila kukicha kati yao na wakulima!Nadhani nimuda muafaka sasa serikali ikaangalia namna ya kuwaelimisha wafugaji hawa (Hasa Wasukuma na Wamaasai) kwa kutulia sehemu moja!Sijui serikali hailioni hili au ni kiburi tu?
 
Jamaa kapotea njia, inaelekea hawa ni wale wa kule fb. Dogo huku hakuna mashindano ya kupiga picha, tunakuomba urudi ulikotoka ebo..!?
 
Wadau naskia tetesi kua wakulima na wafugaji wa ikwiriri huko rufiji wanachapana. Chanzo sijakijua, mwenye updates atumwagie hapa.

Ushasema wakulima na wafugaji halafu unasema chanzo hujakijuwa, unashangaza sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom