Raia wa Ufaransa aokolewa na Samsung Galaxy S6 edge

Raia wa Ufaransa aokolewa na Samsung Galaxy S6 edge

sema tu alikua na bahati na sio simu kumuokoa.
 
Simu ilikuwa Ina hang au ilikuwaje ipige simu bila madhara kwa mwenye simu?
 
Unaju kuna matukio mengine hayawezi kutokea kama kukanyagwa na matairi ya semi trailer iliyo beba mafuta ya kigamboni alafu ukapona au kuanguka katika jengo la mkapa pale posta alafu usife.
 
Back
Top Bottom