Mimi naishi Marekani lakini sikushirikishwa katika ujumbe huu. Ingefaa tuambiwe umetumwa chini ya mwavuli gani. Wasije wakawa wafuasi wa CCM ambao hawawakilishi maoni ya kila Mtanzania anayeishi Marekani.Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Marekani wametuma ujumbe kwa wananchi wa hapa Tanzania wakiwataka kutumia hekima na busara zao katika kuchagua viongozi wenye sifa stahiki ambao pia watakubalika na mataifa ya Ulaya na Marekani.
Aidha wamesema ni vema katika uchaguzi huu tukachagua rais mwenye uwezo binafsi, utendaji uliotukuka, asiye na doa na anaechukia rushwa ili kusaidia Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo.
Wananchi hao wameenda mbali na kusisitiza kuwa tunapaswa kuwa mbali na wale wote wenye harufu ya rushwa, tamaa ya madaraka kwani hawafai kabisa, wataturudisha nyuma kimaendeleo.
Tunawashukuru sana kwa kutukumbusha, kamwe hatuchagui mafisadi.
Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Marekani wametuma ujumbe kwa wananchi wa hapa Tanzania wakiwataka kutumia hekima na busara zao katika kuchagua viongozi wenye sifa stahiki ambao pia watakubalika na mataifa ya Ulaya na Marekani.
Aidha wamesema ni vema katika uchaguzi huu tukachagua rais mwenye uwezo binafsi, utendaji uliotukuka, asiye na doa na anaechukia rushwa ili kusaidia Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo.
Wananchi hao wameenda mbali na kusisitiza kuwa tunapaswa kuwa mbali na wale wote wenye harufu ya rushwa, tamaa ya madaraka kwani hawafai kabisa, wataturudisha nyuma kimaendeleo.
Kama mlilenga CCM hakuna labda mseme tumuchague Daimun Dovutwa hana kashfa!
Haya mataahira hebu yatupishe huko! Eti rais anayekubalika na Ulaya na USA! Ili iweje? Ili wachite Gas yetu bwerere? Kama wanataka anayekubalika na hao waume zao mbona walikubali Nyalandu akakatwa wakati alikuwa anatakiwa na USA? Tunawambia tunachagua rais ambaye atasimamia raslimali zetu na hatakuwa na muda wa kutembeza bakuli kama Dr, Prof. JMK!