Raia wa Tanzania nchini Marekani watuma ujumbe

Ubora

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
664
Reaction score
255
Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Marekani wametuma ujumbe kwa wananchi wa hapa Tanzania wakiwataka kutumia hekima na busara zao katika kuchagua viongozi wenye sifa stahiki ambao pia watakubalika na mataifa ya Ulaya na Marekani.

Aidha wamesema ni vema katika uchaguzi huu tukachagua rais mwenye uwezo binafsi, utendaji uliotukuka, asiye na doa na anaechukia rushwa ili kusaidia Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo.

Wananchi hao wameenda mbali na kusisitiza kuwa tunapaswa kuwa mbali na wale wote wenye harufu ya rushwa, tamaa ya madaraka kwani hawafai kabisa, wataturudisha nyuma kimaendeleo.
 
Mmefanya vizuri ndugu zetu.
 
Mbona siwaoni hao Raia wenyewe?

Vipi wame declare interest yao?
Wako upande upi?
Malofa au Hapa Kazi tu ya kupiga Madili na Push Up ?

Usije kuta na MMM naye yupo kwenye hilo kundi!
 
Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Marekani wametuma ujumbe kwa wananchi wa hapa Tanzania wakiwataka kutumia hekima na busara zao katika kuchagua viongozi wenye sifa stahiki ambao pia watakubalika na mataifa ya Ulaya na Marekani.

Aidha wamesema ni vema katika uchaguzi huu tukachagua rais mwenye uwezo binafsi, utendaji uliotukuka, asiye na doa na anaechukia rushwa ili kusaidia Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo.

Wananchi hao wameenda mbali na kusisitiza kuwa tunapaswa kuwa mbali na wale wote wenye harufu ya rushwa, tamaa ya madaraka kwani hawafai kabisa, wataturudisha nyuma kimaendeleo.

Tunawashukuru sana kwa kutukumbusha, kamwe hatuchagui mafisadi.
 
Waambieni walioko madarakani wamechoka na chama chao kimechoka!! Tutachagua wengine angalau tupate mabadiliko!
 
wewe ukila maharage ukilala umevimbiwa ukiota unaleta apa ndoto zako tujadili nan kakwambia raia wa marekani wanamtaka mapush up wao wanataka ichi itolewe kwenye mikono haram ya kichina wameshaona ichi inaangamizwa
 
Ningewaona wa maana kama wangetumia nafasi yao kumsema na kutompa ushirikiano Kikwete alipokuwa akienda huko kwani ni nchi aliyokwenda Mara nyingi kuliko hata alivyokaa hapo Ikulu.
 
Mashoga tuu, kumchagua mtu aliyezungukwa na wezi mafisadi na wanafiki hatafanya nini sasa? Rudi bongo mtaolewa huko shauli yenu
 
wangesema tu moja kwa moja hawaitak ccm cz wagombea wote wana vyama.na chama cha mafisad ni ccm na mkuu wa ufisad ni kikwete
 
Waambieni walioko madarakani wamechoka na chama chao kimechoka!! Tutachagua wengine angalau tupate mabadiliko!

Waambine uchaguzi wa mwaka huu umeweka historia ya aina yake mgombea urais Ukawa kajinyea jukwaani
 
Back
Top Bottom