Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Marekani wametuma ujumbe kwa wananchi wa hapa Tanzania wakiwataka kutumia hekima na busara zao katika kuchagua viongozi wenye sifa stahiki ambao pia watakubalika na mataifa ya Ulaya na Marekani.
Aidha wamesema ni vema katika uchaguzi huu tukachagua rais mwenye uwezo binafsi, utendaji uliotukuka, asiye na doa na anaechukia rushwa ili kusaidia Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo.
Wananchi hao wameenda mbali na kusisitiza kuwa tunapaswa kuwa mbali na wale wote wenye harufu ya rushwa, tamaa ya madaraka kwani hawafai kabisa, wataturudisha nyuma kimaendeleo.

Ningewaona wa maana kama wangetumia nafasi yao kumsema na kutompa ushirikiano Kikwete alipokuwa akienda huko kwani ni nchi aliyokwenda Mara nyingi kuliko hata alivyokaa hapo Ikulu.
Mbona siwaoni hao Raia wenyewe?
Vipi wame declare interest yao?
Wako upande upi?
Malofa au Hapa Kazi tu ya kupiga Madili na Push Up ?
Usije kuta na MMM naye yupo kwenye hilo kundi!
Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Marekani wametuma ujumbe kwa wananchi wa hapa Tanzania wakiwataka kutumia hekima na busara zao katika kuchagua viongozi wenye sifa stahiki ambao pia watakubalika na mataifa ya Ulaya na Marekani.
Aidha wamesema ni vema katika uchaguzi huu tukachagua rais mwenye uwezo binafsi, utendaji uliotukuka, asiye na doa na anaechukia rushwa ili kusaidia Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo.
Wananchi hao wameenda mbali na kusisitiza kuwa tunapaswa kuwa mbali na wale wote wenye harufu ya rushwa, tamaa ya madaraka kwani hawafai kabisa, wataturudisha nyuma kimaendeleo.
Kina nani hao au kina Mzee Mwanakijiji ?
Ndo nyinyi mnaosombwa kwenye malori na kupelekwa tanga
mkifika huko badala ya kushangilia mnaanza kuzimia hovyo sabab ya uchov na kukosa chakula na maji
Mm kama kijana wa chadema nalaan vikali tabia hio sio utu kusombana kwenye malori usiku kucha
Endelea kuwa Boi!
Na ukichwa maji wako!
Nani asiyekusoma kama simwanachama mwaminifu wa Lumumba!
mtu wa namna hiyo hawezi kupatikana ndani ya chama cha mapinduzi(ccm) labda avue gamba na kuahama chama
Zizi la mafisadi ni CCM mkuu hatutawachagua.Wapo makini ndio sababu wanatukumbusha tusichague mafisadi