Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,952
- 46,442
Wanabodi,
Katika pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na haya maneno ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Zuberi Kabwe.

Zitto Kabwe
Watanzania tunapenda sana kuficha uchafu chini ya kapeti. Chuki za kidini mitaani is real. SMS za chuki zinasambaa. Kuzisema au kuziweka hapa sio kuzitangaza bali Ni kuonyesha Kwa Kiwango gani uvundo wa udini umejaa nchini. Kila namba inayotuma ujumbe wa chuki za kidini ninau report #TCRA lakini SMS hizo zinaendelea. Waislam wanaambiana misikitini kuchaguana kwenye mabaraza ya #Katiba. Wakristo wanaambiana makanisani kuchaguana kwenye mabaraza ya Katiba. Hapo tuna Taifa kweli? Tusifiche mambo haya, tuyaseme waziwazi na kuyakemea Kwa vitendo. Wahenga walisema mficha ugonjwa?..........