Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Mpe salute kamanda Paulo Magembe hapo Maganzo,zama Mwadui kamanda upige neno
 
Hivi wewe UNADHANI
JUHUDI ZAKO ZA KUIJENGA CHADEMA ZINAZIDI ZILE ALIZOKWISHAZIFANYA ZITTO?-
WEWE UNAPATA PLATFORM YA KUZUNGUMZA KWA SABABU ULISHAJENGEWA MAZINGIRA
NA AKINA ZITTO OTHERWISE ASINGEKUSIKILIZA MTU

Sijapuuza kazi alizowahi kuzifanya zito hata kidogo,ninacho sema its time we go back to work.Leo nafanya kazi hii kesho pia mwingine atafanya.
 
Mnatamani yaishe lakini hata
hamjui yataishaje, nakumbuka kibabu chenu kilisema mjadala kuhusu Zitto
umefungwa. Yako wapi sasa?
Mmewasha moto halafu mmeshindwa kuuzima, na mwaka ndo kwanza unaanza.
Mpaka ifike Disemba, kazi mnayo...

Yalisha isha...mwenye macho anajua yalisha isha.
 

Thanks man!
 

Tuko pamoja kamanda,salamu zimefika
 
Sana kamanda tusonge mbele na
CDM msingi ili tuishikishe adabu CCM ..hapa ni mwendo mdundo na twanga
kotekote mpaka kieleweke

Peoooooplesssssssssssssssssssssssss,POWER CHADEMA!

Pamoja sana kamanda.
 

Kilio cha watanzania sio Zito wala Mbowe,ni kupunguziwa mzigo wa maisha ulio waelemea mabegani mwao,ndo tunajadili huku na sio Zito sijui yuko wapi na anafanya nn.
 
Ni na wajua sana CDM kesho msianze kumtukana kwa kumuita msaliti!

Chunga sana Mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…