Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Well said TUNAKUJA HUKO SOON USIJALI. TUTAANZIA MANDA, VIJIJI VYOOTE ZA ZIWANI, LUDEWA MJINI, NA MILIMANI KWOTE TUTATWANGA
Kila mtu hulipwa kwa kazi yake kamanda, CDM itakukumbuka kwa kazi yako. Ukimaliza huko hamia na mkoa mpya wa Njombe hasa Ludewa.
 

Ubarikiwe kamanda!! Maneno ya busara hayo
 
SAFI SANA WATAISOMA MWAKA HUU

cc Nape, Pasco, Ritz, Chris Lukosi na Le Mutuz mzee wa Sembe

 

Tushirikiane kamanda,nipo tayari.
 
Hivi ukombozi upi uwa mnaouzungumzia.

Wa watu kutonyang'anywa ardhi,kutopiga ng'ombe za watu risasi,kutong'oa meno,kucha za wasema ukweli,kutouza madawa ya kulevya kwa watoto wetu na wafanyayo haya ni viongozi.
 

Kamanda nashukuru,lengo langu kuu ni kueleza jinsi wananchi wanavyoitaja sana chadema kuliko jina la mtu au majina ya watu.
 
"ALPHONCE MAWAZO"hili ni neno zito la HEKIMA! hali budi kufanyiwa kazi haraka CDM ISONGE MBELE
 
aisifiae mvua imemnyea.
yaelekea na wewe yamekukuta. tueleze tu ukweli yaliyokukuta ndo ukaanza
kuwabebeleza wasikilizaji wako waliokuwa na hasira juu ya unyanyaswaji
anaofanyiwa zitto. hawajakupopoa mawe kweli?

Sijakuelewa...pls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…