Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Huyu ni div 5! Hata Jina lake hawezi kuandika! "Kamnda' ndio nini?

Hilo si jina tu,unafikiri alikosea au aliamua liwe hivyo? kwanini unataka atumie mawazo yako?Lisingekuwa jina labda ningekubaliana nawe lakini kwa sababu ni jina siwezi kusema kakosea,hivi kwa mfano jina langu hili we kwa ufahamu wako unafikiri ilibidi niandike nini? Usijifianye unajua kila kitu bwana
 
Hasara ni ya Taifa ndugu.

KUfa kwa chadema hasara ni ya Mbowe na Slaa, kwani wao wameigeuza sacoss yao, kama kujenga wao ndio wajenge, hatuwezi kupoteza muda wetu kwa manufaa ya watuwengine, mimi sio miongoni mwa misukule yao.
 

Asante kwamchango huu murua
 
Piga kazi kamanda mawazo, Zitto dhambi aliyo ifanya damu ya watanzania iko juu yake hakika hiki kikombe hato epuka. Kawasaliti watanzania walio kuwa na imani juu yake. Mungu ibariki tanzania.
 

Kamanda nakukubali. Hilo ndilo la Msingi..Tuendelee kujeng chama, tuwe na msingi a kutosha ili tuwe tayari kwa uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka huu. Ngara azi inaendelea.. CCM wanalia.. Wanajipanga inashindikana. Songa mbele kamanda CHADEMA VEMA
 
Tumeku"miss" Arusha;waja lini huku kamanda???Hongera kwa mapambano mazuri!!Mungu akujalie afya tele na uzima
 
ni kweli Zitto anaishi kwa kujificha?
 
Last edited by a moderator:
Acha wivu

Nani anaweza kutangaza kugombea majimbo yote nchini? Bila shaka nchi ina majimbo mengi. ukitaka Arusha tangaza lakini Kamanda mawazo, anajua anachofanya.

Mimi namunga mkoo na kazi anayoifanya naikuba. mimi nimefana kazi Nye, namfaha. Mawzo, ngu zazid kukupa uzima na afy njema
 
KUfa kwa chadema hasara ni
ya Mbowe na Slaa, kwani wao wameigeuza sacoss yao, kama kujenga wao ndio
wajenge, hatuwezi kupoteza muda wetu kwa manufaa ya watuwengine, mimi
sio miongoni mwa misukule yao.

Punguza wivu we ccm
 
Piga kazi kamanda
mawazo, Zitto dhambi aliyo ifanya damu ya watanzania iko juu yake hakika
hiki kikombe hato epuka. Kawasaliti watanzania walio kuwa na imani juu
yake. Mungu ibariki tanzania.

Sijui hajisikii vibaya?
 

Naunga mkono hoja..
 

Asante kamanda
 

Kwa pamoja hakuna la kutushinda
 

Asante kamanda wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…