Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,042
- 134,325
...kama Lowasa anavohesabu ng'ombe wakeHakuna mwenye hati miliki na nchi hii... Simama uhesabiwe!
...kama Lowasa anavohesabu ng'ombe wakeHakuna mwenye hati miliki na nchi hii... Simama uhesabiwe!
Katishiwa kifo na nani?
Huu mwaka mgumu sana! Tutasikia mengi sana!! Uteuzi wa Paul Makonda usije kuwa chanzo na tishio la kifo chake cha kupata urais na siyo tishio la kutoa uhai wake.
Lowassa ni mgonjwa anaweza kuvuta wakati wowote asije kusingizia watu bureeeeeeeeeeeeeee.
Katishiwa kifo na nani?
Hakuna was kumzuia Hutu jamaa zaidi ya mungu
Ikitokea kawa rais kuna watu itabidi wakatafute hifadhi za kisiasa nje ya Tanzania.mtu kama sita,mwakyembe.
Usiapize hivo wewe
Lowassa ni mwiba mkali kwa wale wengine wanaotaka kuwania urais wa Tanzania.Hakuna hata mmoja kwa wale wanaotajwa ana karibia uwezo wa huyo jamaa.