Acha afe kwani anafaida gani fisadi mkubwa huyu.
acha tabia ya kishetani wewe.shetani pekee ndo anayeombe watu wafe utamtangulia wewe nyamaafu wewe
Acha afe kwani anafaida gani fisadi mkubwa huyu.
Acha afe kwani anafaida gani fisadi mkubwa huyu.
Ataitesa kwa kipi ngoja walie hela halafu mwisho wa siku apate aibu ya mwaka ndiyo afe vizuri kwa presha.lowasa ataitesa sana ccm
lakini kwa haya magazeti kila siku ni lowasa tu
Acha afe kwani anafaida gani fisadi mkubwa huyu.
Gazeti la RAI la leo Alhamisi tarehe 19/02/2015, limechapisha katika ukurasa wake wa mbele taarifa kuwa waziri mkuu aliejiuzulu, bwana Edward Lowassa atishiwa kifo.
CHANZO:RAI(magazeti star tv)
naombeni jina la mhariri mkuu wa hili gazeti nataka atwambie kua kuchapa picha ya mungu wa mondoli kwenye ukurasa wa mbele kachukua shng ngap? mana Nipashe Wao Walikataa 17mls.
Hana faida yoyote kwenye jamii yetu.
Msimkweze sana huyu jamaa. Urais hapati. Nawe Lowasa acha kutumia pesa kuhonga watu wakuweke mtandaoni kila kukicha. Tumekuchoka vibaya mwizi we.