AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,557
- 23,269
Anaulizwa maswali ila ukimuangalia vizuri ni km anafanya aptitude test yaan anajibu as if amekaririshwa majibu ukiulizwa hivi jibu hivi hajibu km yeye anavyofahamu kiundani kutoka field unajua mtu anaefahamu kitu kiundaani hajibu jibu tu ili kumfurahisha anaemuuliza au wanaomsikiliza lazima anatumia logic & reasoning au tuseme logical reasoning kwenye kutoa majibu yake kiufasahaHata mtoto wa form four hawezi kujibu maswali kijinga vile!🚮